Antony Mavunde: Wafanyabiashara kurejeshewa Madini yao yaliyochukuliwa na Serikali mwaka 2017

Huu ni Uzi wa upotoshaji na Uchonganishi.

Uwasilishaji wa Taarifa hii ni potoshi. Ni misleading.

Hata hivyo unaibua maswali mengi kuhusu misimamo ya Serikali na sheria zake kuhusu maliasili za Nchi, hapa madini hayo ya Tanzanite.

Wazungu wamewadanganya(mislead) sana CHADEMA na Raisi Samia.

Kamavile wanavyotaka kuwadanganya na Uzi huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…