900 Itapendeza zaidi JF-Expert Member Joined Nov 19, 2017 Posts 7,704 Reaction score 9,186 Dec 16, 2024 #41 chiembe said: Jiwe alikuwa mwizi sana Click to expand... sasa meanza kumweelewa Lisu makinikia na dhahabu yanaanza kujitenga,tuliwaambia jiwe alikuwa zaidi ya jambazi
chiembe said: Jiwe alikuwa mwizi sana Click to expand... sasa meanza kumweelewa Lisu makinikia na dhahabu yanaanza kujitenga,tuliwaambia jiwe alikuwa zaidi ya jambazi
heartbeats JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 6,736 Reaction score 10,669 Dec 16, 2024 #42 Walitunziwa aya lete maelezo upewe
pandagichiza JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 5,248 Reaction score 3,663 Dec 16, 2024 #43 lebabu11 said: Hapa unazuka mgogoro mkubwa zaidi ya inavyofikiriwa. Unyang'anyi wa kimfumo wa serikali hautunzi kumbukumbu na zikiwemo ni uongo na pungufu kwa zaidi ya 50℅. Click to expand... Hapo kuna watu wasiostahili watapata madini. UPIGAJI
lebabu11 said: Hapa unazuka mgogoro mkubwa zaidi ya inavyofikiriwa. Unyang'anyi wa kimfumo wa serikali hautunzi kumbukumbu na zikiwemo ni uongo na pungufu kwa zaidi ya 50℅. Click to expand... Hapo kuna watu wasiostahili watapata madini. UPIGAJI
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Dec 16, 2024 #44 Mnachihanguuu said: Zikishatolewa utamchagua nani Click to expand... Nani na nani wamechukua? Ukipata majina yao yaweke hapa
Mnachihanguuu said: Zikishatolewa utamchagua nani Click to expand... Nani na nani wamechukua? Ukipata majina yao yaweke hapa