kemondo kwetu
Member
- Aug 7, 2018
- 16
- 14
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chama cha Mapinduzi kwa tiketi ya vijana mkoa kagera alipata Halima BulemboChama gani
Kumbe alitia niaChama cha Mapinduzi kwa tiketi ya vijana mkoa kagera alipata Halima Bulembo
Sent using Jamii Forums mobile app
MKUU,Kusema ukweli huyu mtangazaji wa kipindi cha tatu mzuka huyu bint ni mzuri sana .
Nasema bint maana mara nyingi namsikia akijitangaza kwa baadhi ya washiriki wanaoingia kwenye droo ya kubahatisha ushindi wa kupokea hela kuwa hajaolewa.
Lakini kwa mtizamo kwa kweli anafaa sana kuwa mke ila kinachonishangaza ni lile hipsi lake hivi ni la kweli au anajaladia maana ukimtizama kiuno kipo, kifua kipo guu lipo rangi ipo ila mbona lile hipsi lake haliendani na ile miguu?
Ukiangalia ule upaja unaona kabisa kama kuna wimbi la uvimbe kabisa ..
Nimewasilisa.
View attachment 1010218
This is the kind of woman every nigga dreams of. Mtoto anawaka na black melanin ile kiafrika sana. Kitu so RAW yani huitaji kuangalia mara mbili kuvutiwa nacho. Mtoto mkali aisee, sema kuwapata wanawake wa hivi ni ishu sana hapa mjini, kila mmoja kajitwika mikucha mirefu na ma makeup tope minywele ya rangi hadi waoaji tunakosa vyombo sasa!
Wanawake wetu wa Tz tunawapenda ila jitahidini muwe natural kama hivi. Hiki kinatupa faraja sana waoaji tulio na nia!