Anuani za makazi VS Lugha ya Malkia

Anuani za makazi VS Lugha ya Malkia

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
19,582
Reaction score
14,167
Bongo hapa kila kitu shida, kama mambo madogo haya yanakosewa hivi,je masuala serious itakuaje?

Kama Kingereza kimetushinda tukipe nguvu Kiswahili ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Hii ndio nini sasa๐Ÿ‘‡

FR0W50IWYAA6jOz.jpg
 

Attachments

  • IMG-20220531-WA0024.jpg
    IMG-20220531-WA0024.jpg
    99.5 KB · Views: 26
  • FB_IMG_16540622051208229.jpg
    FB_IMG_16540622051208229.jpg
    36.8 KB · Views: 27
Bongo hapa kila kitu shida,kama mambo madogo haya yanakosewa hivi,je masuala serious itakuaje?

Kama Kingereza kimetushinda tukipe nguvu kiswahili.

Hii ndio nini sasa๐Ÿ‘‡

View attachment 2214046
Ninaposema kuna shule za kusomea ujinga mnakuwa hamnielewi. Semeni wenyewe, huyo aliyeandika hayo shule alisomea nini zaidi ya ujinga?

Huy ni dhahiri si Kingereza tu hata Kiswahili hawezi kuandika sawa, ni ujinga dhahiri shahiri, na aliyoruhusu vibao hivyo vibandikwe ndiye mjinga zaidi. It goes all the way up to Nape Nnauye anaesimamia zoezi hili.
 
Bongo hapa kila kitu shida, kama mambo madogo haya yanakosewa hivi,je masuala serious itakuaje?

Kama Kingereza kimetushinda tukipe nguvu Kiswahili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hii ndio nini sasa[emoji116]

View attachment 2214046
Watanzania hata lugha yetu tu hatuipi uzito katika matamshi. Utakutana na sentensi kama balabala ya posta. Mjuaji zaidi atakwambia balabala ya posta load.
 
Upo kwenye nyumba ya vioo ujue acha kukasirisha waliokaribu na mawe.
Wewe rusha mawe, uone yatavyokunyeeshea, utakimbia. Hatukujazwa kupigwa la kushoto sisi tukakugeuzia na lakulia. Kumbuka hilo.
 
Wewe rusha mawe, uone yatavyokunyeeshea, utakimbia. Hatukujazwa ujinga wa kupigwa la kushoto sisi tukakugeuzia na lakulia. Kumbuka hilo.
Highlight ya rangi ya zambarau kwenye nukuu niliyoweka kutoka bandiko lako umeiona?
 
Hata nape nayeye anayesimamia zoezi Hilo Ni mzigoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo umesimamia kwa mbwembwe na chopa na chopa Mambo hollaaah!!!!!!!!!!!! Ni hakuna anachokijua zaidi ya kupika fitina tu za kutaka kuwafunga kina makonda,yaaaani hi Nicole kwamba wanabebwa na CV za baba zao tu,zaidi zaidi Ni hollaaaaaaah!!!!!!!!!! Zaidi Sana wapelekee disko wakacheze
 
Bongo hapa kila kitu shida, kama mambo madogo haya yanakosewa hivi,je masuala serious itakuaje?

Kama Kingereza kimetushinda tukipe nguvu Kiswahili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hii ndio nini sasa[emoji116]

View attachment 2214046
Cha ajabu limetumika neno mahakama, Kwa nini isiwe barabara badala yake iwe road? Yaani wasomi wetu ni janga.
 
Mh.Nape Huu sasa ni mzaha,unachafua kauli ya Mama kuupiga mwingi ๐Ÿ‘‡
 

Attachments

  • FB_IMG_16540181928011076.jpg
    FB_IMG_16540181928011076.jpg
    46.2 KB · Views: 23
  • FB_IMG_16540182040328187.jpg
    FB_IMG_16540182040328187.jpg
    30.1 KB · Views: 23
Kubana matumizi au kuna anayejilipa na kuokota vijiti vya kutundikia vibati vya hayo majina ya barabarani?
Mauzauza hoyee!!!
Wamebadilisha bwana ๐Ÿ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220606-214408.png
    Screenshot_20220606-214408.png
    166.4 KB · Views: 19
Back
Top Bottom