Kijakazi JF-Expert Member Joined Jun 26, 2007 Posts 7,093 Reaction score 10,469 Jun 11, 2022 #21 Kwa kawaida hiyo ni kazi ya Halmashauli na wana utaratibu wana na sheria zao za kuweka majina ya Mitaa lkn low IQ kaingilia na Helikopta kuzunguka nchi nzima kutumia mabilioni na matokeo ya kazi yake ni hayo, substandard work!
Kwa kawaida hiyo ni kazi ya Halmashauli na wana utaratibu wana na sheria zao za kuweka majina ya Mitaa lkn low IQ kaingilia na Helikopta kuzunguka nchi nzima kutumia mabilioni na matokeo ya kazi yake ni hayo, substandard work!
Tanzania One 2024 Member Joined Nov 13, 2020 Posts 89 Reaction score 132 Jun 16, 2022 #22 The Sunk Cost Fallacy said: Bongo hapa kila kitu shida, kama mambo madogo haya yanakosewa hivi,je masuala serious itakuaje? Kama Kingereza kimetushinda tukipe nguvu Kiswahili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hii ndio nini sasa[emoji116] View attachment 2214046 Click to expand... Really!!!inshort physics imeeleweka mara-dufu!!keep observing SCF[emoji4]
The Sunk Cost Fallacy said: Bongo hapa kila kitu shida, kama mambo madogo haya yanakosewa hivi,je masuala serious itakuaje? Kama Kingereza kimetushinda tukipe nguvu Kiswahili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hii ndio nini sasa[emoji116] View attachment 2214046 Click to expand... Really!!!inshort physics imeeleweka mara-dufu!!keep observing SCF[emoji4]