ANUNNAKI: Nadharia za Mungu, miungu, fumbo la sciencenscience na Teknolojia kubwa katika Dunia ya kale, kuanguka Kwa civilization na kuinuka Tena

hahahahah hua nikisoma maandiko ya hizi Abrahamic religion hua nacheka Sana,laiti wafuasi wao wangejua waanzinzilishi wa hizi dhana ni Viumbe tu Tena intelligent wa kale wasingejisumbua kutaabisha miili Yao na nguvu zao kuwaabudu!
Mkuu, huu niliu save kitambo ili niutafutie muda maalum ila mpaka hapa nina swali kwako una weza ukalijibu hapa au unaweza ni pm hilo jibu pia! Swali: ww unaamini nini!? Unaabudu dini gani na dhehebu gani! Msingi wa swali langu kuna, vitu nahitaji kuvi experience tu sina maana nyingine
 
hahahahah hua nikisoma maandiko ya hizi Abrahamic religion hua nacheka Sana,laiti wafuasi wao wangejua waanzinzilishi wa hizi dhana ni Viumbe tu Tena intelligent wa kale wasingejisumbua kutaabisha miili Yao na nguvu zao kuwaabudu!
Mkuu, huu niliu save kitambo ili niutafutie muda maalum ila mpaka hapa nina swali kwako una weza ukalijibu hapa au unaweza ni pm hilo jibu pia! Swali: ww unaamini nini!? Unaabudu dini gani na dhehebu gani! Msingi wa swali langu kuna, vitu nahitaji kuvi experience tu sina maana nyingine
 
Wenzetu wapo tofauti sana na sisi, haya mambo ya sayansi na technology nilivutia nayo sana na kuanza kua shabiki na kua karibu saana nilipo fika form 2, shule niliyo soma nibahatika kukutana na vijana wawili kaka na dogo wake wakawa rafiki zangu sana, hawa walikua ni watanzania tu kwa 7bb ya baba yao ila wao wamezaliwa na kukuli blugaria kwa mama yao wapo very intelligent hata baada ya kumaliza pale walisepaga ila moja ya maajabu waliokua nayo walikua mbele ya mwalimu mbaali sana na hata vitabu sijui vya physics, chemistry, geograph na math hawakua wanatumia kama sisi tulivyokua tunatumia na ikitokea wametumia ni kwa nadra sana labda kwa 7bb ya formula tulizokua tunatumia kupata majibu ya maswali kulingana syllubus yetu, hayo ni ya darasani sasa ikifika jioni au muda wa michezo au weekend walikua wananisimulia story kadha wa kadha za sciense moja story ilikua ni hawa alliens na maswala ya anga sasa hua nawaza hawa wenzetu hua wanafanyaje watoto wao kugundua vitu kama hivyo ilihali wakiwa wadogo mambo ambayo jamii yetu wengi hua hawana bahati hata ya kuvisikia mpaka wanakufa na wenye bahati ya kukutana navyo wanakuja kuvigundua wakiwa majitu mazima ina kua shida hata kuwaelewesha
 
Interesting
 
Kama unazo toa hata kama hawataki ila kwa kusoma tu na kuchangia wanazidi kujielewa kama humu ndani kwa kuto ku share unatukatili ss wengine wenye rooms za kupata vitu vipya
 
Una hata kapicha mkuu
 
Hahaha karukaruka mwisho kajaa mwenyewe
 
Wale jamaa walikua na akili sana chukuli unamfugaje nyati mbadala wa ng'ombe au mbwa mwitu mbadala wa hawa tuo wachezea na kuwapiga, haya yote ni matokeo ya bustani ya edeni ila ss hapa hawa walifanya GMO na sasahvi na sisi tuna GMO yetu
 
Huko kwenye migodi ya leo mbali na kua na mitambo ya kisasa ila bado binadamu ni wengi kuliko mitambo na hata hiyo migodi ya zamani lazima walitumia mitambo na ndio maana walitengeneza generator za kuzalisha umeme ila nguvu kazi ya kiumbe binadamu ili hitajika
 
Hata huko MARS wanatanguliza mitambo kila leo ila mwishowe binadamu wataenda jazana huko ili hali mazingira hayaturusu
 
Hata huko MARS wanatanguliza mitambo kila leo ila mwishowe binadamu wataenda jazana huko ili hali mazingira hayaturusu
 
Clear
 
Pic "mashana jr"

Ndio maana hawa jamaa wana hasira sana sisi wakatuburuta kwny utumwa over 400yrz ku replace hilo gape
 
Unapenda blabla.
 
Unapenda blabla.
Hizi sio blabla! Kuna vithibitisho lukuki basi tu wengine sio wafuatiliaji na haya mambo si lazima wote wayajue na waligundua haya na ndio maana mengi yamefichwa watakao penda kufuatilia ndio watakutana nayo
 
Ingia humu usafishe macho
 
Mmh theory OK ..kak
Kama waliweza kuumba binadamu(complex sentient being) kwanini wasiweze kuumba gold ..
 
Mmh theory OK ..kak

Kama waliweza kuumba binadamu(complex sentient being) kwanini wasiweze kuumba gold ..
Ni rahisi kumtengeneza binadamu maabara kwa kutumia vinasaba vilivyopo kuliko ķutengeneza dhahabu kwa kutumia componet zake.

Naposema kutengeneza simaanishi kutengeneza kutoka kwenye hewa kama alivyofanya MUUMBAJI wetu kiimani. Yaani huna kitu halafu unatengeneza kitu, namaanisha unachuka kitu kilichopo tayari na kufanya kitu kingine.

Mfano wa kawaida, kuku wa kisasa ametengenezwa na binadamu kwa kutumia kuku wa kienyeji.
 
Uwepo wa historia ya Anunnaki unaweza kufuta jina mungu au kufuta imani ya ukristo na uislamu ila haiwezi kufuta uwepo wa nguvu iliyosababisha uwepo wa ulimwengu na viumbe vyake wakiwemo hao anunnaki.

Hiyo nguvu wakristo na waislamu ndo wanayoitafuta kwa kuiabudu na kuipa majina.

Sasa kama hayo majina chanzo chake ni kina annunaki hilo sio tatizo sababu ni kama uambiwe wewe huitwi Abdala hilo jina ni la uongo, hiyo haitabatilisha uwepo wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…