ANUNNAKI: Nadharia za Mungu, miungu, fumbo la sciencenscience na Teknolojia kubwa katika Dunia ya kale, kuanguka Kwa civilization na kuinuka Tena

hahahahah hua nikisoma maandiko ya hizi Abrahamic religion hua nacheka Sana,laiti wafuasi wao wangejua waanzinzilishi wa hizi dhana ni Viumbe tu Tena intelligent wa kale wasingejisumbua kutaabisha miili Yao na nguvu zao kuwaabudu!
Mkuu, huu niliu save kitambo ili niutafutie muda maalum ila mpaka hapa nina swali kwako una weza ukalijibu hapa au unaweza ni pm hilo jibu pia! Swali: ww unaamini nini!? Unaabudu dini gani na dhehebu gani! Msingi wa swali langu kuna, vitu nahitaji kuvi experience tu sina maana nyingine
 
Hivi vitabu ebu viorodheshe hapa tena(put the list of the annunaki books)
Ili tuchimbe tuelewe hizo hekaya za kale za huko Mesopotamia.

Kuna huyu jamaa Elon Musk,katika moja ya interviews zake akiwa anahojiwa kuhusu namna anavyomudu kazi mbalimbali za science and technology alijibu Kuwa yeye kama yeye amekuwa na utamaduni wa kusoma vitabu vingi sana tangu akiwa kinda kabisa wa miaka 5 hadi 6 hivi na alishawahi kusoma vitabu akiwa teenager vinavyohusu sayari za anga za mbali na kuhusu viumbe waliowahi kuitembelea dunia(Alliens) kuanzia hapo akastaajabu na ndipo alipopata msukumo wa kutaka kujua zaidi kuhusu universe as the whole na mpaka Leo anashangaa anadai the universe is infinitely,na pengine hii universe hii tuliyopo ambayo ina sayari lukuki na mabilioni ya nyota inaweza kuwa moja tu lakini kuna fununu kuwa kuna mabilioni ya universe kwa ukubwa na upana usio kifani.
Je hayo inaweza kuwa yapo kweli based on rejea zako kutoka hadithi/habari za Anunnak.
Je ni kweli au inawezekana Elon musk alisoma habari za hawa Anunnak?

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Wenzetu wapo tofauti sana na sisi, haya mambo ya sayansi na technology nilivutia nayo sana na kuanza kua shabiki na kua karibu saana nilipo fika form 2, shule niliyo soma nibahatika kukutana na vijana wawili kaka na dogo wake wakawa rafiki zangu sana, hawa walikua ni watanzania tu kwa 7bb ya baba yao ila wao wamezaliwa na kukuli blugaria kwa mama yao wapo very intelligent hata baada ya kumaliza pale walisepaga ila moja ya maajabu waliokua nayo walikua mbele ya mwalimu mbaali sana na hata vitabu sijui vya physics, chemistry, geograph na math hawakua wanatumia kama sisi tulivyokua tunatumia na ikitokea wametumia ni kwa nadra sana labda kwa 7bb ya formula tulizokua tunatumia kupata majibu ya maswali kulingana syllubus yetu, hayo ni ya darasani sasa ikifika jioni au muda wa michezo au weekend walikua wananisimulia story kadha wa kadha za sciense moja story ilikua ni hawa alliens na maswala ya anga sasa hua nawaza hawa wenzetu hua wanafanyaje watoto wao kugundua vitu kama hivyo ilihali wakiwa wadogo mambo ambayo jamii yetu wengi hua hawana bahati hata ya kuvisikia mpaka wanakufa na wenye bahati ya kukutana navyo wanakuja kuvigundua wakiwa majitu mazima ina kua shida hata kuwaelewesha
 
Mkuu Mimi mara nyingi humu ndio niliyekua natoa nadharia za Mtu na binadamu Kuna nadharia mbali mbali ambazo Bado hazijakaa sawa na Sina uhakika nazo ila sababu ya kimazingira ndio zinakubalika mfano
Inadaiwa Annunaki waliwakuta genre ya Homo Elactus ambao ndio walikua blacks na ndio maana hapo oldupai Gorge Kuna fuvu la Mtu wa kale,kumbuka ni Mtu
(Sio binadamu)

Watafiti wa mambo kale wanadai genre ya Homo Elactus ilifanya mabadiliko ya haraka Sana ndani ya kipindi kifupi kivipi?
Kutoka African Zenjanthropus Mpaka homo habili ilichukua mda mrefu (Katika mabadiliko nadharia za Darwin )
Vile vile kutoka homo habili Mpaka homo Elactus lakini Cha ajabu genre ya Homo Elactus kwenda Homo sapiens Sapiens ilichukua mabadiliko ya ghafla Sana yaani ni kama Kuna kitu kiliingilia mfumo wa mabadiliko kutoka gepu la mamillion ya miaka mpaka gape la miaka elfu tu watu walioishi mapangoni na kuishi Kwa kuwinda wanyama wanaibuka na ustaarabu wa Hali ya juu mno na kupiga hatua za maendeleo Katika science and technology huko wakitumia Hisabati,Physikia na Biolojia ya Hali ya juu sana kutuzidi Leo Hii
Kipi kiliingilia mfumo wetu ghafla hivyo?

Si kingine Bali Annunaki ndio mwanzo wa mabadiliko ya ghafla!
Interesting
 
tatizo lenu wafia dini mpo less informed, hampendi kutafuta knowledge nje ya mafundisho yenu ya dini. mnaona ni kama kukufuru.

mmelizika na yale tu mnayohubiriwa na wachungaji/mashehe wenu huko kwenye masinagogi.

ndio maana nimeamua kuwa selfish, huwa sipendi ku-share knowledge kama hizi na wafia dini,i just keep it to myself maana najua mtanibishia.
Kama unazo toa hata kama hawataki ila kwa kusoma tu na kuchangia wanazidi kujielewa kama humu ndani kwa kuto ku share unatukatili ss wengine wenye rooms za kupata vitu vipya
 
Mkuu according to Sumerian tablets Nibiru huzunguka nyota yetu jua ikiwa kwenye mhimiri wake Kila baada ya miaka 3,600 Kisha hutoweka taratibu,michoro ya kale ilionesha ikiuweka Mwezi wetu katikati yake na Dunia na imerekodiwa Katika accient tablets Toka kale
Ikiwa na ukubwa mara tatu ya Dunia yetu!
Una hata kapicha mkuu
 
hahahahahah Vituko kama hivi utavikuta Facebook Sasa ulichokua unabisha Nini kama Biblia imesema Annunak ni fallen angel kumbe ulikua unajua kuwahusu ila unaleta ujuaji na ubishi wa kijuha tu hapa Haya
Haya Tupe na Elimu broo hao fallen angel ndio kina nani?
na Walishuka wapi?
Kwa malengo yapi?
Na Leo wapo wapi?

Mwaga maelimu hapa kuwahusu hao Fallen angel ambao umedai Biblia imewataja
Tunasubiri!
Hahaha karukaruka mwisho kajaa mwenyewe
 
Annunak hawakumodify human tu Bali na wanyama,mimea na ndege
Angalia baadhi ya wanyama na ndege wafugwao jiulize Wana connection Gani na binadamu mfano paka,mbwa,ngombe,punda nk hao hata ukiwapeleka mbali na makazi ya Watu yaani mwituni watafanya Juu chini watafute makazi ya binadamu yalipo maana Asili Yao ni hivyo,
Nikuulize kitu hao wanyama walianzaje kuishi na binadamu hapo mwanzo?
Wale jamaa walikua na akili sana chukuli unamfugaje nyati mbadala wa ng'ombe au mbwa mwitu mbadala wa hawa tuo wachezea na kuwapiga, haya yote ni matokeo ya bustani ya edeni ila ss hapa hawa walifanya GMO na sasahvi na sisi tuna GMO yetu
 
Aisee we jamaa bwana unapenda blabla kwenye mambo muhimu,
1.Yaani kwa akili yako unaona mtu ni rahisi sana kumuumba kwa sababu tayari process ilishakamilka na mtu kawekewa mbegu ndani yake!!!?
2.Kwako wewe kwa kuwa research za cloning zinaweza kufanyika unaona kama vile mtu hana thamani?
3.Binadamu wa sasa anapotaka kuchimba dhahabu ameweza kufanya ugunduzi na kujitengenezea Machine very complicated kwa ajili ya kuchimba dhahabu,Mtu aliyedhaifu ana nguvu gani ya kuchimba dhahabu matani na matani na kupelekwa uko unakokuita wewe Nibiru?Na lazima ufikirie ya kwamba mbingu ni kubwa kuripea hiyo mbingu yao kungehitaji dhdhabu nyingi, mtu dhaifu hawezi kufanya hiyo kazi.
Angalia mtu asiye na mitambo anachimbaje dhahabu hivi leo?
Huko kwenye migodi ya leo mbali na kua na mitambo ya kisasa ila bado binadamu ni wengi kuliko mitambo na hata hiyo migodi ya zamani lazima walitumia mitambo na ndio maana walitengeneza generator za kuzalisha umeme ila nguvu kazi ya kiumbe binadamu ili hitajika
 
Hata huko MARS wanatanguliza mitambo kila leo ila mwishowe binadamu wataenda jazana huko ili hali mazingira hayaturusu
 
Yaani unachopinga kwangu Haina maana,narudia kukupa msisitizo ukitaja Mungu Kwa Watu Ambao tunajua asili na mwanzo wa Hiyo Nadharia Halafu ukampa sifa za uumbaji wa huu Ulimwengu nitakubishia daima maana Kwa tafsiri rasmi ambayo naijua Mimi hakuna Huyo Mungu mnaemdai kaumba Ulimwengu huu mkubwa na huko yeye akiwa Ndani ya huo huo Ulimwengu,huoni contradiction hapa?
Mungu anafungwa na kanuni za Ulimwengu na ndio maana anasifa za viumbe wa kawaida kama tulivyo sisi mfano
Mungu Elohim/YWH/Jehovah
Ana character ya kibinadamu Kuna mbaya kama Hasira,Wivu,chuki,ubaguzi,
Mabavu,ubabe,visasi,
Pia anazo nzuri kama
Upendo,rehema,Upole,maarifa,
ujuzi,Huruma NK
Vile vile ana character ya Ufalme akiwa kama top of command
Akiongoza kundi la viumbe mbali mbali Katika falme na milki yake mfano
Malaika, maserafi, Mashetani,Majini NK

Sasa basi kutokana na character hizo napinga huyo sio Supernatural power Bali ni deity tu ambaye anaongoza milki mojawapo katika Galaxies

Nataka nisemaje hizo sifa zote Israelites walicopy kwa Maandiko ya Sumeria ambayo Babu Yao Abraham alitokea Kwenye jamii hizo ambazo kimsingi ziliongozwa na Annunaki/Watchers/Angels Ambao kimsingi na Katika Ushahidi wa kihistoria wakitokea
Nephilim 12th Planet Nibiru ambayo Watu wa kale walikuita Heaven kwa kwa lugha ya kingereza au Mbinguni Kwa kiswahili,
Sasa kutokana na Nadharia hizo dini na kuabudu viumbe kutoka huko Mbinguni ndio ulipoanzia huko Mesopotamia Karne hizo
BCE!

Understand?
Clear
 
Pic "mashana jr"

Ndio maana hawa jamaa wana hasira sana sisi wakatuburuta kwny utumwa over 400yrz ku replace hilo gape
JamiiForums-1438106476.jpg
 
Huko kwenye migodi ya leo mbali na kua na mitambo ya kisasa ila bado binadamu ni wengi kuliko mitambo na hata hiyo migodi ya zamani lazima walitumia mitambo na ndio maana walitengeneza generator za kuzalisha umeme ila nguvu kazi ya kiumbe binadamu ili hitajika
Unapenda blabla.
 
Unapenda blabla.
Hizi sio blabla! Kuna vithibitisho lukuki basi tu wengine sio wafuatiliaji na haya mambo si lazima wote wayajue na waligundua haya na ndio maana mengi yamefichwa watakao penda kufuatilia ndio watakutana nayo
 
Ingia humu usafishe macho
 
Habari Wana JF na jukwaa la Intelligence natumaini mpo salama na tunasurvive chini ya jua kibishi,
Nimeona nilete hii mada ngumu kidogo kuhusu Accient civilization ya kale katika Dunia yetu,pamoja na nadharia mbali mbali za kuanguka na kupotea kwake,

Natumaini wale magreat thinkers watashashare idea zao kutoka vyanzo mbali mbali na natamani mjadala uwe endelevu na wale wenye watakaoweza kuweka rejea kutoka source mbali mbali wawe huru Ili mjadala uwe mpana kidogo hivyo uvumilivu unahitajika,
Note wafia Dini hamuhitajiki humu kama kitu hujui kaa kwa kutulia upate Somo na rejea mbali mbali,

Karibu!

Dunia ya kale ilipata kupitia katika ustaarabu mkubwa sana ambao Mpaka Leo unaacha utata mkubwa pamoja na fumbo kuu,
Wanasayansi,watu wa Dini,wanafalsa na wachunguzi huru wamejikuta kwenye sintofahamu juu ya ustaarabu ule uliopotea Huku wakibaki kwenye nadharia nyingi toka Hapo zamani,

Ushahidi kutoka maandiko ya kale ya Sumeria yaliyokutwa katika tablets za Mawe na michoro mbali mbali katika jamii nyingi za kale zimewataja viumbe walioitwa 'miungu'

"Miungu" au 'gods' tafsiri yake ikiwa na maana ya walioshuka kutoka 'mbinguni' au angani na Kushuka duniani,

Nadharia ya Miungu Katika Sumeria imewataja "ANUNNAKI"
Au Wana wa Annak
ANU =mtawala wa mbinguni na baba wa waanak na KI mother goddes mtawala wa Dunia,

Maandiko ya kale ya Wasumeria katika Mesopotamia yamewataja viumbe Anunak walipata Kuja duniani Miaka 450,000 BCE iliyopita,
Mtafiti wa mambo kale Zachariah Sitchin miaka ya 70's aliweza kutafsiri baadhi ya maandiko ya kale ya Wasumeria yanayodai Annunaki walipata Kuja pre human development yaani akiwa na maana Dunia ikikaliwa spicies ya Homo Elactus pekee,

Pia maandiko ya kale ya Sumeria yanadai Annunaki walitokea Sayari ya Nibiru ambayo huizunguka mfumo wetu wa Nyota ikiwa kwenye mhimili wake Kila baada ya miaka 3,600
Na maandiko hayo ya kale yanapata kuandika Annunaki ni intelligence being wenye high advanced science and technology na walipata kuja Duniani na Spaceships kwa lengo la kuchimba Dhahabu ikiwa kama metal ya mhimu huko kwenye sayari Yao ambayo waliitumia kurecover atmosphere ya anga lao,
Note hiyo ni according to Accient writings alizotafsiri Zachariah Sitchin,wanasayansi na Watafiti wa mambo kale kama Jesus Cediel,

Swali Wana jamii intelligence Inakuaje tablets kongwe na ya kale kuliko maandiko yoyote Yale yaani Sumerian iandike mambo kama hayo?

Fumbo!

Nitaendelea na mada karibuni Kwa mjadala!

ALALU:Mtangulizi wa mwanzo wa Annunaki
Katika accient tablets anatajwa Alalu huyu alikua ni agent kutoka Sayari ya Nibiru aliyepewa jukumu la kuzunguka Sayari mbali mbali kuangalia uwezekano wa kuwepo Kwa dhahabu,Alalu alifanikiwa kuifikia Dunia yapata miaka 450,000 BCE na kufanya tafiti mbali mbali Katika accient tablets anatajwa kama 'mungu' wa ugunduzi,Alalu alipata kutua Kush na akagundua hazina kubwa ya dhahabu,ugunduzi wa machimbo ya kale ya kush unathibitisha kugundulika Kwa dhahabu Kwa mara ya kwanza Katika uso wa Dunia ukifuatiwa ule wa South Africa na Maputo Msumbiji ambako miaka ya Hivi karibuni kuligundulika machimbo ya kale sana yalichimbwa Kwa ustadi Kwa kutumia vifaa vya kisasa unaoshangaza Dunia ya Leo,

Baada ya tafiti za Alalu walifuatia Wana wa Annak ENKI na ENLIL ambao walishuka na Spaceships s kubwa Wakiongozana na moja ya jamii ya Waanunaki waitwao IGIGI ambao waliotumika kama workers kwenye Migodi yote iliyoanzishwa huku wakiongozwa na ENKI na ENLIL kama viongozi,

Maandiko ya Sumeria yanadai baadae IGIGI walichoka kufanyishwa Kazi za machimbo ya dhahabu sababu ya brutality kitu kilichopelekea vita kubwa na ya kwanza Katika uso wa Dunia ikihusisha advanced weapons kama Nuclear weapons,
Baada ya resistance ya IGIGI
ENKI alikuja na Wazo la kumfanya Kiumbe awe replaced ndipo wakawafanya Nephilims (Wanefili) Hawa walikua ni Viumbe wenye mfanano na Annunak ila wakubwa na wenye nguvu,wakitumia Hybrid Nephilims walishindwa zaliana hivyo kuwapa mzigo ENKI kuwazalisha Kwa wingi kulingana na mahitaji na Kasi ya Kazi Katika Migodi maana walishindwa kuendana na Kasi sababu ya ukubwa na uzito wa miili Yao,

WAZO LA KUMFANYA BINADAMU,
Annunak Chronicles inaelezea mwanzo Dunia ilikaliwa na Viumbe waitwao Enkidu Katika Epic of Girgamesh wanamtaja Kiumbe Mtu Enkidu ambaye alikua spicies ya Homo Elactus walioishi duniani wakiwa hawana humanity waliishi pamoja na wanyama wa mwituni kama hayawani wengine,.
Enki alifikiria ni jinsi Gani atawafanya wale Enkidu wawe intelligence na akaja na Wazo la kuwaongezea vinasaba milini mwao Kwa kufanya DNA testing na walifanikiwa kufanya genre ya Homo sapiens wa kwanza,
Pia Maandiko ya Sumeria yanadai Annunaki walifanya human manipulation na cloning project na kumtengeneza mtu wa kwanza
ADAPA (Adamu)
Wakitumia DNA zao,manii na kupandikiza Kwa Kiumbe mke aliyekuja kuzaa genre ya Homo sapiens kamili iliyokamilika
(Sumeria tablets zinaelezea teknolojia ya Human cloning,human manipulation na sayansi nyinginezo kukamilisha Hilo)

Kwanini wamuumbe mtu Kwa mfano wao?
Ukisoma kitabu Cha Genesis kinadai Mungu alisema na tumfanye mtu Kwa mfano wetu
(Wale wa nadhari za Abrahamic Religion wajiulize ilikuaje Mungu aseme na tumfanye mtu Kwa mfano wetu)
Hiyo wetu inawakilisha uwingi ikiwa na maana ya "Gods"
(Walioshuka kutoka juu mbinguni na kuja Duniani)

NADHARIA ZA MUNGU NA MIUNGU/ KUUMBWA KWA BINADAMU WA KWANZA NA LOYAL BLOODLINE OF ADAM,

Mathalani umewahi sikia Nadharia kuhusu MUNGU au inawezekana ni mmoja unayeabudu nadharia hii ukiamini ni Supernatural power iliyoumba ulimwengu na vilivyomo,na nguvu hiyo Ipo ndani ya kiumbe aliyeketi kwenye kiti Cha enzi Cha Mbinguni na ni Mzee wa siku mwenye utukufu mkubwa akiwa kazunguka na wazee 24 wenye uhai,huko akihukumu Kwa haki jamii ya viumbe mbali mbali waliopewa majina ya Malaika,Maserafi,wanadamu nk

Nadharia hii ilitawala katika ulimwengu wa kale na wakisasa
Huko ikiwa na tofauti mbali mbali,

Mosi ni Ile Mungu hapo zamani alishuka Moja Kwa Moja mpaka duniani akiounga upepo katika bustan ya Eden Pahali anapoishi binadamu wa kwanza kuumbwa Adamu,
Ukisoma maandiko ya kitabu Cha Mwanzo kinadai Mungu alishuka wakati wa alasiri bustanini kuongea na kiumbe wake
(Code nitaelezea hapa Kwa kina)

Pia hapo kale Wana wa Mungu Walishuka mpaka duniani na kukutana na watu wa kale na kuishi nao maisha ya kawaida
(Refer Watchers/Angels)
Hiyo ilikua swala la kawaida tu bila shaka,

Pili:Nadharia za kisasa
Hapa tunaona katika zama Fulani miungu walikndoka duniani ni kama waliitelekezwa vile,sababu ya kufanya vile hatujui ila inakuja ibuka nadharia ya watu wanaojita Mitume na Manabii ya hapo kale wakijifanya ni maajent wa Mungu na wasemaji wake Kwa watu katika mambo Fulani Fulani,
Je ilikuaje yule Mungu na wale Malaika wake wasije Tena mpaka Leo hii toka zama zile na hata wakija wanafikia Kwa jamii Fulani Tena watu wa blodline Moja?
(Fumbo)

Leo ninaenda kukupa majibu ya hilo fumbo hapa hapa!

Tuendeleee

Maandiko ya Biblia kwa asilimia 99% hasa agano la kale limecopy Maandiko ya Sumeria ambayo ni makongwe Sana Kuliko maandiko yoyote yaliyowahi rekodiwa hapa Duniani,
Hili linaungwa mkono na jamii nzima ya Leo maana sumerian tablets ndio msingi wa ustaarabu wote wa Mwanadamu katika Historia ya Dunia,
Sumeria ilikua ndio sehemu ya kwanza Alphabet yenye character 600 +
Ikiiacha mbali Alphabet tuitimiayo yenye character 26 tu
Yaani ABC to Z basi
Pia Sumeria walikua na Mathematical table ya kushangaza Sana,
Wataalamu wa mambo kale Wanakiri endepo tutaweza gundua calculation na njia ya kufanya Hisabati kama wao tutapiga hatua Kubwa sana katika science and technology
Refer wanasayansi kushindwa fanya calculation za accient civilization zilizotumika katika ujenzi wa majengo kama Pyramids na site mbali mbali
(Mifano mnayo)

Sasa basi Bible ilicopy maandiko hayo sababu waliyanakiri na kucopy visa vile walikosa Information kuhusu Accient civilization hivyo kuoelekea kuunga unga visa vilivyokaa bila mpangilio maalumu yakiwa Randomly
(Wanatheolojia watanielewa)

Baada ya ugunduzi wa Sumerian tablets miaka ya 1880's na baadhi kuyatafsiri ndio tukajua zile information zote tata zimeelezewa Kwa ufasaha na kupangiliwa visa kuhusu Accient gods waliokuja kutoka Nibiru planet kutafuta dhahabu na hatimaye kumuumba Binadamu kama man power
Mmh theory OK ..kak

Baada ya ugunduzi wa Sumerian tablets miaka ya 1880's na baadhi kuyatafsiri ndio tukajua zile information zote tata zimeelezewa Kwa ufasaha na kupangiliwa visa kuhusu Accient gods waliokuja kutoka Nibiru planet kutafuta dhahabu na hatimaye kumuumba Binadamu kama man power!
Kama waliweza kuumba binadamu(complex sentient being) kwanini wasiweze kuumba gold ..
 
Mmh theory OK ..kak

Kama waliweza kuumba binadamu(complex sentient being) kwanini wasiweze kuumba gold ..
Ni rahisi kumtengeneza binadamu maabara kwa kutumia vinasaba vilivyopo kuliko ķutengeneza dhahabu kwa kutumia componet zake.

Naposema kutengeneza simaanishi kutengeneza kutoka kwenye hewa kama alivyofanya MUUMBAJI wetu kiimani. Yaani huna kitu halafu unatengeneza kitu, namaanisha unachuka kitu kilichopo tayari na kufanya kitu kingine.

Mfano wa kawaida, kuku wa kisasa ametengenezwa na binadamu kwa kutumia kuku wa kienyeji.
 
Uwepo wa historia ya Anunnaki unaweza kufuta jina mungu au kufuta imani ya ukristo na uislamu ila haiwezi kufuta uwepo wa nguvu iliyosababisha uwepo wa ulimwengu na viumbe vyake wakiwemo hao anunnaki.

Hiyo nguvu wakristo na waislamu ndo wanayoitafuta kwa kuiabudu na kuipa majina.

Sasa kama hayo majina chanzo chake ni kina annunaki hilo sio tatizo sababu ni kama uambiwe wewe huitwi Abdala hilo jina ni la uongo, hiyo haitabatilisha uwepo wako.
 
Back
Top Bottom