ANUNNAKI: Nadharia za Mungu, miungu, fumbo la sciencenscience na Teknolojia kubwa katika Dunia ya kale, kuanguka Kwa civilization na kuinuka Tena

Mi nnaweza kukubali kuwa sio finite kwa maana ya uwezo wa kuelewa na kuingiza mambo mapya, kweli tunaendelea kukua, tunaendelea kupanuka kiakili.

Lakini katiwa wakati fulani[time=t] huwa tunakuwa tumeishia mahala fulani ambapo bado patakuwa ni finite ukilinganisha na Mungu ambaye ni infinity bado.
 
Oky! Finity kwa maana kuna mambo ambayo hata uwaze vp huwezi pata majibu! Haswa swala la alietuumbua mbali nakupambana kutafuta 7bbu za hapa na pale ila dunia nzima tumegonga mwamba
 
Anunaki huenda ni malaika? Maana kunamalaika walitumwa kupeleka sample za udongo for human creation
Simulizi hiyo ipo katika (Abrahamic religion) uislam
 
Anunaki huenda ni malaika? Maana kunamalaika walitumwa kupeleka sample za udongo for human creation
Simulizi hiyo ipo katika (Abrahamic religion) uislam
Inawezekana.
 
Oky! Finity kwa maana kuna mambo ambayo hata uwaze vp huwezi pata majibu! Haswa swala la alietuumbua mbali nakupambana kutafuta 7bbu za hapa na pale ila dunia nzima tumegonga mwamba
Sure hadi watu wengine kwa kuona kuwa majibu hayapo basi wameamua kulikataa na swali lenyewe kabisa. Binadamu hapendi kutokujua majibu inampa discomfort kukaa na maswali asomajibu yet.

Akiwa humble atakubali kuwa mdogo, ila akiwa arrogant ndo hivyo atabisha na kufutilia mbali asichokijua vizuri.
 
1. Hawa Annunak, Enki na Enlil wanaodaiwa kuumba watu, wao wameumbwa na nani?

2. Sayari mbalimbali ikiwemo hiyo ya Nibiru nani ameifanya?

3. Viumbe vyote vilivyomo duniani wanyama ndege, wadudu je wamefanywa na hao Anunnak?
4. Dhahabu na madini mbalimbali yaliyoko duniani nani ameyafanya?
 
Kwani hamjasoma kitabu Allien Invasion and the second coming of Jesus
Mwandishi nani?
Nilitoka kusoma Davinc code cha Dan Brown ni fiction yenye mchanganyiko wa ukweli na uongo.
Kiuhalisia kweli ikishachanganywa na uongo jumla yake kuu ni uongo.
Mungu ndio kweli, ukichanganya hapo uongo au mis- interpretation ya hiyo kweli jibu ni sawa sawa na shetani.
 
Pamoja Mkuu nitashare hapa hapa mambo mengi nayoyajua na niliyobahatika kupata elimu kuyahusu!
Kuna mambo mengi yanaingiliana sana. Hii elimu ya homosapiens haishikiki kabisa kwenye uhalisi wa mambo...! Kipi kimefanya pasiwe wa consistency ya shifting stage from monkey/ chipamzee to binadamu mambo ya theolojia, historia + religios yana kanganya sana[emoji1748]
.
 
Mleta mada naomba tofauti ya soul and spirit, alafu ndio niulize swali langu kuhusu chalii anayejiita anunnaki.
 
Ntarudi kusoma baadae
 
Mleta mada naomba tofauti ya soul and spirit, alafu ndio niulize swali langu kuhusu chalii anayejiita anunnaki.
mimi sio mleta mada ila naomba nijipendekeze kujibu kwa niaba mkuu!!!....SPIRIT ni kiumbe kisicho na mwili kama majini n.k........SOUL ni spirit iliyovikwa mwili kama sisi binadamu,,,,,,,,siku ukifa,mwili wako unavuliwa na unabaki na spirit...sijui nimepatia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…