Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,052
- 2,995
Nakazia mkuukaribu Mkuu ngoja niendelee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakazia mkuukaribu Mkuu ngoja niendelee!
mh katumia kitabu gani Cha dini tenaa?Mkuu umekataza watu wa dini kwenye uzi wako ila wewe unatumia kitabu cha dini kama moja ya ushahidi Why🤔
"kuganda" ni neno alilotumia mtarjima aliyetarjim Kiswahili. Aliyetarjim Kingereza katumia manano mawili " clinging clot". Original yake unaifahamu?. Kama hauifahamu utapata shida sana kuifahamu Qur'an, nakushauri kajifunze Kiarabu.
Ndiyo raha ya Qur'an ukiweka tafsiri uweke na original yake. Ipo. si kama kile kitabu ambacho orijino yake haijulikani ilipo.
"kuganda" ni neno alilotumia mtarjima aliyetarjim Kiswahili. Aliyetarjim Kingereza katumia manano mawili " clinging clot". Original yake unaifahamu?. Kama hauifahamu utapata shida sana kuifahamu Qur'an, nakushauri kajifunze Kiarabu.
Ndiyo raha ya Qur'an ukiweka tafsiri uweke na original yake. Ipo. si kama kile kitabu ambacho orijino yake haijulikani ilipo.
MhWANEFILI NA JINSI WALIVYOTOKEA DUNIANI.
BWANA YESU asifiwe.
Karibu nikujize jambo hili.
Wanefili maana yake majitu au walioanguka.
Hawa walikuwa ni wanadamu walizaliwa kutokana na mahusiano ya kimapenzi kati ya wana wa MUNGU na binti wa binadamu.
Mwanzo 6:1-5 ''Ikawa wanadamu walipoanza kuzidi usoni pa nchi na wana wa kike walizaliwa kwao, wana wa Mungu waliwaona hao binti za wanadamu ya kuwa ni wazuri; wakajitwalia wake wo wote waliowachagua.BWANA akasema, ROHO yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni nyama; basi siku zake zitakuwa miaka mia na ishirini.Nao Wanefili walikuwako duniani siku zile;tena ,baada ya hayo ,wana wa Mungu walipoingia kwa binti za binadamu,wakazaa nao wana;hao ndiyo waliokuwa watu hodari zamani ,watu wenye sifa. BWANA akaona ya kuwa maovu ya mwanadamu ni makubwa duniani na kwamba kila kusudi analowaza moyoni mwake ni baya tu sikuzote.''
-wana wa Mungu hawa walikuwa ni malaika walioanguka (mapepo) ambao walioa wanawake binadamu waliopagagwa kwa nguvu za giza za mapepo hayo .
Uhusiano huu ulisababisha watoto Wanefili.
Mwanzo 6:4 '' Nao Wanefili walikuwako duniani siku zile;tena ,baada ya hayo ,wana wa Mungu walipoingia kwa binti za binadamu,wakazaa nao wana;hao ndiyo waliokuwa watu hodari zamani ,watu wenye sifa.'' shetani kupita mapepo alikuwa anajaribu kuchafua damu ya binadamu ili kuzuia ujio wa MWOKOZI YESU KRISTO.
MUNGU aliahidi kwamba Masihi atakuja kutoka uzao wa Hawa ambaye ataponda kichwa cha joka hilo yaani Shetani.
Mwanzo 3:15 '' nami nitaweka uadui kati yako na huyo mwanamke, na kati ya uzao wako na uzao wake; huo utakuponda kichwa, na wewe utamponda kisigino.''
Hivyo, mapepo au malaika walioasi walitumika ili kujaribu kuzuia hili na kuchafua ukoo wa binadamu, na kufanya ugumu kwa ajili ya Masihi asiye na dhambi kuingia duniani kupitia mwanamke.
Wanefili walikuwa walikuwa kizazi kikubwa cha mashujaa maarufu ambao walifanya vitendo vya uovu mkubwa ukubwa na nguvu zao zilitokana na mchanganyiko wa “chembe cha za damu” ya mapepo na zile za binadamu. Biblia inasema kuhusu wao ni kwamba walikuwa "mashujaa wa zamani, watu wenye sifa" (Mwanzo 6:4 ).
Wanefili walikuwa si wageni, walikuwa halisi, viumbe wa kimwili zinazozalishwa kutoka muungano wa malaika waasi na binti wa watu mapepo walirudia tendo la dhambi wakati mwingine baada ya mafuriko. Hata hivyo, ilifanyika kwa kiasi kidogo kuliko ilivyokuwa kabla ya mafuriko. Wakati wana wa Israeli walipeleleza nchi ya Kanaani wao walimpasa Musa taarifa:
Hesabu 13:33 "Kisha huko tuliwaona Wanefili, wana wa Anaki, waliotoka kwa hao Wanefili; tukajiona nafsi zetu kuwa kama mapanzi; nao ndivyo walivyotuona''.
Na hata sasa ndio maana ni lazima sana kila mwanadmu kuokoka kwa kumpokea YESU KRISTO na kuomba maombi au kuombewa maombi ya kujitenga na kila nguvu za Giza.
Mchakato wa BWANA YESU kutuokoa una maana kubwa sana.
Maana mojawapo ya BWANA YESU kutuokoa, Biblia inasema kwamba MUNGU alituhamisha kutoka nguzu za giza na kutuingiza katika ufalme wa Mwana wake wa pekee YESU KRISTO.
Wakolosai 1:13 ''Naye(MUNGU) alituokoa katika nguvu za giza, akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa Mwana wa pendo lake(YESU ); ambaye katika yeye tuna ukombozi, yaani, msamaha wa dhambi;''
Kizazi cha manefili kilikuja baada ya adamu, kilikuja wakati Wa kabla ya gharika ya Nuhu . ni baada ya baadhi malaika kuacha enzi yao na kuja kufanya dhambi na wanadamu hivyo vilivyozaliwa hakikuwa wanadamu Wa kawaida bali ni wanadamu Wa ajabu wakiwemo wanefili.
Ufunuo 12:17 ''Joka akamkasirikia yule mwanamke, akaenda zake afanye vita juu ya wazao wake waliosalia, wazishikao amri za MUNGU, na kuwa na ushuhuda wa YESU; naye akasimama juu ya mchanga wa bahari.''
-Tangu zamani shetani amekasirika dhidi ya mwanamke na amedhamiria kufanya vita juu ya uzao wa mwanamke, vita hiyo ni kuhakikisha uzao wa mwanamke haumpendezi MUNGU.
Wanefili ni zao la hasira ya shetani kwa uzao wa mwanamke.
Lakini ashukuriwe MUNGU kwa BWANA wetu YESU KRISTO kuja kutuokoa.
Kitendo cha Malaika kuasi mbinguni na kuja kufanya uasherati na wanadamu ili kupelekea kuzaliwa kwa watu walio na ushetani ndani yao Lilikuwa ni kosa kubwa kwa MUNGU.
malaika kuacha enzi yao na kuja kufanya dhambi, malaika hao waliadhibiwa na wako kifungoni wakisubiri jehanamu.
Yuda 1:6 " Na malaika wasioilinda enzi yao wenyewe, lakini wakayaacha makao yao yaliyowahusu, amewaweka katika vifungo vya milele chini ya giza kwa hukumu ya siku ile kuu. "
Unefili ulikuwa ni mkakati wa kuhakikisha wanadamu hawaendi kuishi katika uzima wa milele lakini ashukuriwe BWANA YESU kwa kuja kutukomboa na kututoa katika kila nguvu za giza na tunawekwa huru kwa damu ya YESU KRISTO.
Warumi 6:22-13 ''Lakini sasa mkiisha kuwekwa huru, na kuwa mbali na dhambi, na kufanywa watumwa wa MUNGU, mnayo faida yenu, ndiyo kutakaswa, na mwisho wake ni uzima wa milele. Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti; bali karama ya MUNGU ni uzima wa milele katika KRISTO YESU BWANA wetu.''
Damu ya YESU KRISTO ina uwezo wa kututenga na kila nguvu za giza.
BWANA YESU akikuweka huru hakika utakuwa huru.
Yohana 8:36 '' Basi Mwana(YESU) akiwaweka huru, mtakuwa huru kweli kweli.''
Mapepo ni wanefili ambao hawatakiwi kuishi ndani ya mtu.
mapepo yako kifungoni sasa maana yake kuna vitu MUNGU ameyazuilia kufanya kwa wanadamu lakini mwanadamu akiwa mbali na KRISTO anaweza kuvamiwa na mapepo na mapepo hayo yatamfanya mwanadamu huyo kuwa shujaa katika kutenda dhambi.
Kuna watu leo ni mashujaa wa kipepo(kinefili) wa kunywa pombe nyingi.
Kuna watu leo ni mashujaa wa kipepo wa kubadili wanawake/wanaume kama nguo. huo ni unefili unaotakiwa kuondolewa kwa jina la YESU KRISTO ndipo mtu atakuwa huru tena bila kuongozwa na nguvu za giza.
2 Kor 5:17 '' Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya KRISTO amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita tazama! Yamekuwa mapya.''
Naamini kabisa kuna kitu umejifunza, lakini lengo la kwanza la MUNGU ni wewe uokoke. Kama unaishi maisha ya dhambi ndugu nakuomba tubu na okoka.
Kama hujampokea YESU nakuomba umpokee leo na uanze kuanzia leo kuishi maisha matakatifu ya wokovu.
Kama wewe ni mtu wa kanisani lakini maisha yako yamejaa dhambi nakuomba okoka upya na amua kumpendeza MUNGU kuanzia leo.
Kama wewe umegeuza kanisa kama kichako chako cha kuficha uovu wako , nakusihi sana umche MUNGU maana kuna ziwa la moto kwa waovu, lakini pia kuna uzima wa milele kwa wateule wa KRISTO wanaoishi maisha matakatifu.
MUNGU wangu akubariki sana na akupe
ufahamu wa kumjua yeye na Neno lake, akupe
ufahamu wa kuliishi kusudi lake jema kwako.
ubarikiwe sana pia kwa kujifunza masomo
yangu.
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Hapana mkuu Qurani kama kitabu kilikuepo na ukusanywaji wake ulianza tokea wakati wa mtume mwenyewe Qurani ilikuwa katika maandishi ipo na watu pia walihifadhi katika nafsi zao.
Aiseeh kina vichwa ngumu sanaNilikuambia Toka Mwanzo MUNGU ni cheo sio Jina la kiumbe mbona unakua mgumu kuelewa?
Nikitolea mfano
MUNGU ANU mtawala wa mbinguni
(Nephilim 12th Planet Nibiru)
Pamoja na Elohim/YWH ambaye pia alikua mtawala wa huko huko Nibiru ila anaabudiwa na Abrahamic Religion,
Sasa wewe MUNGU Gani unaemdai hapa?
Kwa hiyo kuabudu kwetu ni bure ,tena imani yetu imepotea na sie tupo upotevuni tena ni kazi bure,kwa hiyo ni bora kula na kunywa kisha tufe na ndio mwisho wetu[emoji1][emoji1]Mwanzo binadamu hakupewa maarifa Juu ya lengo lake,alikua akitumika kuchimba Dhahabu akidhani ni kazi ya kawaida tu huku akiendelea na Maisha ya kawaida, walifanya biashara,ufugaji,kilimo,burudani mbali mbali na kuzaliana pia, Walijenga vijiji na miji mikubwa iliyokua na facilities zote.
Mathalani umewahi sikia ngano za uzuri wa miji ya Babylon,Eridu,Nippur, Nineveh nk ilikua ni Miji mikubwa Sana Katika accient world iliyokua na Kila kitu kama mabustani ya kumwagilia na mapumziko,majumba ya michezo mbalimbali,club za Pombe na majumba ya ngono na kamari hayo yote yametajwa kama vitu vya kawaida katika Dunia ya kale na Annunaki waliishi miongoni mwa binadamu kawaida tu huko wakijulikana kama gods/Lord's
Mfano wa viongozi hao ni Enki na Enlil pia walikua na ndugu Zao Moja kati ya bint wa annaki aliitwa Inana/Ishtar huyu Ndie aliyewafundisha wanawake style za kungonoka alikua ni Moja ya bint za ANU aliyependa starehe Sana Mpaka akajengewa Moja ya bustani nzuri ya Babylon zinazotiririsha
Maji Kwa Hali ya kustaajabisha kama sehemu ya ufahari na kuvinjari tu Kwa Malkia Huyo wa Mbinguni. Mpka Leo Hilo jengo limekua ni Moja ya maajabu ya Dunia ya kale,
Kwanini Annunaki ENKI na ENLIL waliokua viongozi wa mission duniani waliwaficha wanadamu waliowaumba juu ya ukweli huo huko wakiwaambia Mungu mkuu wa Mbinguni Ndie aliyewaumba?
Mosi ni kutaka binadamu asijue Asili yake maana Mwanzoni wakati ANNUNAK wanashuka duniani Kwa mara ya kwanza na kuanzisha migodi Yao ya Dhahabu,waliwatumia Igigi Aliens Moja ya jamii za Annunaki Kwenye machimbo Yao,kutokana na brutality za kina ENLIL ambao walikua viongozi wao walikuja goma kufanyishwa kazi na ikazaliwa vita kubwa sana ambayo katika maandiko ya kale ya Sumerian ndio vita ya kwanza Duniani iliyopata piganwa na ilileta madhara Sana na kuathili mission Yao,maana inahusishwa na nuclear weapons ENLIL akiwa kama master of mission aliendesha mission Kali ya kuwapoteza Igigi katika uso wa Dunia,
Inatajwa Enlil alitumia Nyundo kubwa yenye nguvu maradufu kuwasambalatisha adui zake
ANUNNAK ambao ni advanced katika science and technology walitumia siraha Bora Sana kupoteza maadui Ili waje na mpango mpya ambao utawawezesha kuendeleza mission Yao Ndipo Enki akaja na Wazo la kumfanya binadamu akitumia sample ya kiumbe aitwaye Enkidu ambaye alikua ni moja ya primitive ENKI alifanikiwa kumfundisha kiumbe yule ujuzi na maarifa huko alikifanyiwa majaribio na kuongezwa vinasaba Kwa kutumia Cloning technology
Pia kupitia kiumbe yule Enki akamtengeneza kiumbe Mwingine kama yule akitumia maabara za Kisasa na sayansi ya Hali juu Kwa kufanya majaribio mengi Sana mpaka akakamilika lengo ni kumpata kiumbe mwenye ujuzi na Kasi kubwa katika ufanyaji kazi migodini na mwishowe lengo linatimia Adamu wa kwanza anaumbwa na katika majaribio anawekwa katika bustani ya Eden iliyokua pembezoni mwa mji wa Eridu ambao ENKI anaishi,bustani hiyo iliyokua katikati ya mto Euphrates na Tigris ilitumika na Annunaki kama maabara na sehemu ya majaribio ya mbegu za Kisasa za mimea na wanyama Ili kukidhi haja ya chakula pindi binadamu atakapoishi na kufanya kazi katika machimbo ya dhahabu
(Bustani Eden/Aden ilikua sehemu ya kwanza binadamu kupata chakula,ambapo Miungu ilimtengenezea Mwanadamu pindi atakapoanza survive)
Sasa basi Annunaki baada ya kumaliza mission Yao na kuamua kuondoka duniani waliamua kuteua kizazi Cha Adamu na kuwapa siri ya mission Yao,kumbuka Annunaki walifanya genre ya Homo sapiens wa kwanza mosi ni Ile ya kumgeuza Enkidu/Primitive na nyingine ni Ile ya Adamu/ copy ya genre ya Primitive iliyofanywa maabara
Annunaki waliona yule waliyemfanya maabara Ni bora hivyo walimpa access ya kutunza Siri na ndio Loyal bloodline of Adam ambao kizazi Chao kimetembea Kwa Enoch, Noah, Abraham, Isack, jackobo na hatimaye Israelites hao ndio maana Toka kale walijitanabaisha ni Wana wa Mungu na ni choosen one,wao hujiona Bora kuliko watu Wengine Toka kale na mara nyingi wamejikuta wakikngia matatani Kwa baadhi ya jamii zile nyingine ambazo hawakupewa Siri na Miungu hao waliowapa Amri na sheria za kuiendesha Dunia Mpaka majira na nyakati zitakazowafaa na wakaahidi watakuja Rudi na kuifanya Dunia iwe paradise au Heaven N' Earth
Hizo ndio Siri zilifanya wahuni wachache wanaojua secret behind kuanzishia dini Kwa maslahi Yao. Binafsi ila tukiusema ukweli mchungu Kuna vibaraka wao ambao hafahamu ukweli wanakuja na mapovu kupinga hapa na nishajionea, Msidhani hii Dunia ipo kama mnavyoiona everything is secreto for the befit of few people kama huamini kawabane wale viongozi wenu wa Dini wanaoendaga semina huko Vatikano na Madina hakika hutajuta kusoma bandiko langu!
Mkuu Reptilian race tupo nao toka kale hapa hapa DunianiMkuu Mimi si mjuzi wa Mambo ya kale lakini nimfuatiliaji mzuri wa nyuzi Kama hizi zinazo zungumzia Mambo Kama haya
katika pitia pitia zangu nimekuja kubaini kwamba kuna vumi nyingi
Zinazo vuma kwamba hapa duniani tunaishi na viumbe wanao tokea sayari nyingine wakija na vifaa vinavyo jurikana Kama UFOS nawao wakitambulika Kama alliens
Lakini pia kwenye classification za Hawa aliens nime wai kukutana na aliens wanao itwa igigi ambao hapo juu umewataja Kama walikuwa wafanya kazi wa hao anunaki sons
Kizuri zaidi ni Jina ambalo nimeliona pia kwenye hiyo post yako hapo juu kitu ambacho kina Nipa ukweli frani juu ya post yako
Lakini pia Ina semekana kuna jamii ya viumbe ambao wana tuongoza mpaka Sasa japo kwa Siri Sana jamii hiyo inaitwa jamii ya mijusi au mijusi watu
Inasemekana viumbe Hawa wapo na niviongozi wakubwa tuu kwenye serikari kubwa za dunia
Sasa mkuu ningeomba kjua mengi juu ya habari hizi za viumbe Hawa
Kwamba je nikweli wapo?
Nini lengo lao kwa dunia yetu?
Je Wana uhusiano gani na hao anunakki?
Kiukweli natamani kujua mengi kuwa husu zaidi ya hayo niliyo yauliza hapo Kama yapo msaada tafadhari 🙏🙏🙏
Shukrani Sana mkuu pia usisahau kutupa na chanzo Cha mgogoro pia mgogoro wenyewe mpaka wakaamua kuishi kwa kujificha mkuuMkuu Reptilian race tupo nao toka kale hapa hapa Duniani
zamani walikua live na asili yao ila baadae ukaja kutokea mgogoro mkubwa uliosababisha uadui mkubwa kati yao na humanoid kwakua mwanadamu ni kiumbe anaeweza kumaster spiritual supreme power au nguvu kuu hao viumbe waliamua kujificha kwenye dimension yao wakitumia advanced technology watafiti wanadai toka kale wameweka makazi yao kwenye base mbali mbali chini ya bahari kuu zote kulingana na jamii zao,vile vile waliweza kutengeneza tech ya kujibadilisha na kua Na mfanano kama wanadamu malengo yalikua ni kuitawala dunia ila walishafeli maana kulingana na historia ya Humanoid MUNGU mkuu the CrShukeator of all gods,Human, Serpent Na Divine Being yaani JEHOVA/EL alisema kupitia race ya first Pure Human atakuja kuzaliwa Mwanadamu mwenye Uungu na atawakomesha hawa viumbe Wavamizi Wa Dunia maana atampa mamlaka Makuu ya kuhukumu Divine Beings Wote Walioacha makazi yao na kuja kui corrupt Dunia kwa kuharibu nature na kufanya human kua slave wao
nitakuja kumwelezea Master of Spiritual power au Mwana wa mmiliki na nguvu kuu alizon
Dumas, umenipoteza, mwanzo wa mada umetuambia kuwa Sisi binadamu tumetengezwa baada ya resistance ya IGIGI, then ENKI akaja na wazo la kumfanya kiumbe kutokana na viumbe waitwao ENKIDU ambao ni spicies ya Homo Elactus.Yaa kweli hao miungu wengine wali iharibu Dunia ya Kale sana Human Being wakawa Slaves
Kwao kumbuka hao Anunaki ni group of Deities walikua wengi sana na walistawi duniani kote kuanzia kule Misri,India,China,Ankor Wat ,Meso America,Babylon kote na miji yake ya kale kama Eridu,nippur,kish,Shurupak,Nenev NK Na Huko kote walijenga Mahekalu Makubwa Mfano India kulikua na mungu Krishna na Alijenga mahekalu katika miamba migumu yaani anachonga hekalu kwa teknolojia za miungu kitu ambacho binadamu wa leo hatuna uwezo nacho hata chembe maana ni high advanced Technology mara buku na ya kwetu pia huko PERU na Mexico mungu Quetzacolt Au kukukan ndie aliyejenga yale mapyaramids yote na ndie enjinia wa Pyramids za Misri Pia
Hawa gods walikua wanaonekana live kwa nguvu zao ila baadae MUNGU Mkuu wa miungu JEHOVA au EL ambae ndie the ALL aliwakomesha maana inadaiwa before aliumba ADAM wa kwanza majamaa yalikuja na science za Kuclone humanoid yakaleta machotara ya ajabu yaliyo corrupt nature na MUNGU EL akaamua ayafutilie mbali na kuyafungia gizani Yaani kwenye dimension yao ya Asili Sio hii pysical World!
Hao ndio divine being wa kale
Dumas Sasa Huyu Jehova au El according to you ama Sumerian text ndio aliuumba Adam?? Tuseme ENKI hakuumba Adapa(Adamu) mm naona kama unachanganya mambo [emoji23][emoji23][emoji23]Dumas, umenipoteza, mwanzo wa mada umetuambia kuwa Sisi binadamu tumetengezwa baada ya resistance ya IGIGI, then ENKI akaja na wazo la kumfanya kiumbe kutokana na viumbe waitwao ENKIDU ambao ni spicies ya Homo Elactus.
Then Ukasema Annunaki wakafanya Human manipulation kumtengeza mtu wa kwanza Adapa( Adamu) kwa kutumia DNA zao na manii kupandikiza kwa kiumbe mke aliyekuja kuzaa genre ya Homo sapiens kamili iliyokamilika..
Mara tena hapa unatuambia
Hawa gods walikua wanaonekana live kwa nguvu zao ila baadae MUNGU Mkuu wa miungu JEHOVA au EL ambae ndie the ALL aliwakomesha maana inadaiwa before aliumba ADAM wa kwanza majamaa yalikuja na science za Kuclone humanoid yakaleta machotara ya ajabu yaliyo corrupt nature na MUNGU EL akaamua ayafutilie mbali na kuyafungia gizani Yaani kwenye dimension yao ya Asili Sio hii pysical World!
Hao ndio divine being wa kale..
IMANI- swala la kuamini nadharia Fulani ambayo inashindwa thibitishwa Katika mazingira halisia,Imani pia ni kama hisia juu ya swala Fulani ambalo huna uhakika nalo,
MUNGU - ni cheo Cha mtawala mkuu wa 12th Planet Nibiru (Heaven)
Ambapo Katika accient SUMERIAN tablets Ina maana ya
(Master of high chamber)
Katika Sumeria neno MUNGU Ndipo lilipoanzia wakimtaja
ANU mtawala mkuu wa ANUNNAKI Huko
(Nephilim 12th Planet Nibiru)
Vipi Bado hujaelewa?
Kwanini usiweke hapa haya maandiko ya Sumerian ili tusome wenyeweHabari Wana JF na jukwaa la Intelligence natumaini mpo salama na tunasurvive chini ya jua kibishi,
Nimeona nilete hii mada ngumu kidogo kuhusu Accient civilization ya kale katika Dunia yetu,pamoja na nadharia mbali mbali za kuanguka na kupotea kwake,
Natumaini wale magreat thinkers watashashare idea zao kutoka vyanzo mbali mbali na natamani mjadala uwe endelevu na wale wenye watakaoweza kuweka rejea kutoka source mbali mbali wawe huru Ili mjadala uwe mpana kidogo hivyo uvumilivu unahitajika,
Note wafia Dini hamuhitajiki humu kama kitu hujui kaa kwa kutulia upate Somo na rejea mbali mbali,
Karibu!
Dunia ya kale ilipata kupitia katika ustaarabu mkubwa sana ambao Mpaka Leo unaacha utata mkubwa pamoja na fumbo kuu,
Wanasayansi,watu wa Dini,wanafalsa na wachunguzi huru wamejikuta kwenye sintofahamu juu ya ustaarabu ule uliopotea Huku wakibaki kwenye nadharia nyingi toka Hapo zamani,
Ushahidi kutoka maandiko ya kale ya Sumeria yaliyokutwa katika tablets za Mawe na michoro mbali mbali katika jamii nyingi za kale zimewataja viumbe walioitwa 'miungu'
"Miungu" au 'gods' tafsiri yake ikiwa na maana ya walioshuka kutoka 'mbinguni' au angani na Kushuka duniani,
Nadharia ya Miungu Katika Sumeria imewataja "ANUNNAKI"
Au Wana wa Annak
ANU =mtawala wa mbinguni na baba wa waanak na KI mother goddes mtawala wa Dunia,
Maandiko ya kale ya Wasumeria katika Mesopotamia yamewataja viumbe Anunak walipata Kuja duniani Miaka 450,000 BCE iliyopita,
Mtafiti wa mambo kale Zachariah Sitchin miaka ya 70's aliweza kutafsiri baadhi ya maandiko ya kale ya Wasumeria yanayodai Annunaki walipata Kuja pre human development yaani akiwa na maana Dunia ikikaliwa spicies ya Homo Elactus pekee,
Pia maandiko ya kale ya Sumeria yanadai Annunaki walitokea Sayari ya Nibiru ambayo huizunguka mfumo wetu wa Nyota ikiwa kwenye mhimili wake Kila baada ya miaka 3,600
Na maandiko hayo ya kale yanapata kuandika Annunaki ni intelligence being wenye high advanced science and technology na walipata kuja Duniani na Spaceships kwa lengo la kuchimba Dhahabu ikiwa kama metal ya mhimu huko kwenye sayari Yao ambayo waliitumia kurecover atmosphere ya anga lao,
Note hiyo ni according to Accient writings alizotafsiri Zachariah Sitchin,wanasayansi na Watafiti wa mambo kale kama Jesus Cediel,
Swali Wana jamii intelligence Inakuaje tablets kongwe na ya kale kuliko maandiko yoyote Yale yaani Sumerian iandike mambo kama hayo?
Fumbo!
Nitaendelea na mada karibuni Kwa mjadala!
ALALU:Mtangulizi wa mwanzo wa Annunaki
Katika accient tablets anatajwa Alalu huyu alikua ni agent kutoka Sayari ya Nibiru aliyepewa jukumu la kuzunguka Sayari mbali mbali kuangalia uwezekano wa kuwepo Kwa dhahabu,Alalu alifanikiwa kuifikia Dunia yapata miaka 450,000 BCE na kufanya tafiti mbali mbali Katika accient tablets anatajwa kama 'mungu' wa ugunduzi,Alalu alipata kutua Kush na akagundua hazina kubwa ya dhahabu,ugunduzi wa machimbo ya kale ya kush unathibitisha kugundulika Kwa dhahabu Kwa mara ya kwanza Katika uso wa Dunia ukifuatiwa ule wa South Africa na Maputo Msumbiji ambako miaka ya Hivi karibuni kuligundulika machimbo ya kale sana yalichimbwa Kwa ustadi Kwa kutumia vifaa vya kisasa unaoshangaza Dunia ya Leo,
Baada ya tafiti za Alalu walifuatia Wana wa Annak ENKI na ENLIL ambao walishuka na Spaceships s kubwa Wakiongozana na moja ya jamii ya Waanunaki waitwao IGIGI ambao waliotumika kama workers kwenye Migodi yote iliyoanzishwa huku wakiongozwa na ENKI na ENLIL kama viongozi,
Maandiko ya Sumeria yanadai baadae IGIGI walichoka kufanyishwa Kazi za machimbo ya dhahabu sababu ya brutality kitu kilichopelekea vita kubwa na ya kwanza Katika uso wa Dunia ikihusisha advanced weapons kama Nuclear weapons,
Baada ya resistance ya IGIGI
ENKI alikuja na Wazo la kumfanya Kiumbe awe replaced ndipo wakawafanya Nephilims (Wanefili) Hawa walikua ni Viumbe wenye mfanano na Annunak ila wakubwa na wenye nguvu,wakitumia Hybrid Nephilims walishindwa zaliana hivyo kuwapa mzigo ENKI kuwazalisha Kwa wingi kulingana na mahitaji na Kasi ya Kazi Katika Migodi maana walishindwa kuendana na Kasi sababu ya ukubwa na uzito wa miili Yao,
WAZO LA KUMFANYA BINADAMU,
Annunak Chronicles inaelezea mwanzo Dunia ilikaliwa na Viumbe waitwao Enkidu Katika Epic of Girgamesh wanamtaja Kiumbe Mtu Enkidu ambaye alikua spicies ya Homo Elactus walioishi duniani wakiwa hawana humanity waliishi pamoja na wanyama wa mwituni kama hayawani wengine,.
Enki alifikiria ni jinsi Gani atawafanya wale Enkidu wawe intelligence na akaja na Wazo la kuwaongezea vinasaba milini mwao Kwa kufanya DNA testing na walifanikiwa kufanya genre ya Homo sapiens wa kwanza,
Pia Maandiko ya Sumeria yanadai Annunaki walifanya human manipulation na cloning project na kumtengeneza mtu wa kwanza
ADAPA (Adamu)
Wakitumia DNA zao,manii na kupandikiza Kwa Kiumbe mke aliyekuja kuzaa genre ya Homo sapiens kamili iliyokamilika
(Sumeria tablets zinaelezea teknolojia ya Human cloning,human manipulation na sayansi nyinginezo kukamilisha Hilo)
Kwanini wamuumbe mtu Kwa mfano wao?
Ukisoma kitabu Cha Genesis kinadai Mungu alisema na tumfanye mtu Kwa mfano wetu
(Wale wa nadhari za Abrahamic Religion wajiulize ilikuaje Mungu aseme na tumfanye mtu Kwa mfano wetu)
Hiyo wetu inawakilisha uwingi ikiwa na maana ya "Gods"
(Walioshuka kutoka juu mbinguni na kuja Duniani)
NADHARIA ZA MUNGU NA MIUNGU/ KUUMBWA KWA BINADAMU WA KWANZA NA LOYAL BLOODLINE OF ADAM,
Mathalani umewahi sikia Nadharia kuhusu MUNGU au inawezekana ni mmoja unayeabudu nadharia hii ukiamini ni Supernatural power iliyoumba ulimwengu na vilivyomo,na nguvu hiyo Ipo ndani ya kiumbe aliyeketi kwenye kiti Cha enzi Cha Mbinguni na ni Mzee wa siku mwenye utukufu mkubwa akiwa kazunguka na wazee 24 wenye uhai,huko akihukumu Kwa haki jamii ya viumbe mbali mbali waliopewa majina ya Malaika,Maserafi,wanadamu nk
Nadharia hii ilitawala katika ulimwengu wa kale na wakisasa
Huko ikiwa na tofauti mbali mbali,
Mosi ni Ile Mungu hapo zamani alishuka Moja Kwa Moja mpaka duniani akiounga upepo katika bustan ya Eden Pahali anapoishi binadamu wa kwanza kuumbwa Adamu,
Ukisoma maandiko ya kitabu Cha Mwanzo kinadai Mungu alishuka wakati wa alasiri bustanini kuongea na kiumbe wake
(Code nitaelezea hapa Kwa kina)
Pia hapo kale Wana wa Mungu Walishuka mpaka duniani na kukutana na watu wa kale na kuishi nao maisha ya kawaida
(Refer Watchers/Angels)
Hiyo ilikua swala la kawaida tu bila shaka,
Pili:Nadharia za kisasa
Hapa tunaona katika zama Fulani miungu walikndoka duniani ni kama waliitelekezwa vile,sababu ya kufanya vile hatujui ila inakuja ibuka nadharia ya watu wanaojita Mitume na Manabii ya hapo kale wakijifanya ni maajent wa Mungu na wasemaji wake Kwa watu katika mambo Fulani Fulani,
Je ilikuaje yule Mungu na wale Malaika wake wasije Tena mpaka Leo hii toka zama zile na hata wakija wanafikia Kwa jamii Fulani Tena watu wa blodline Moja?
(Fumbo)
Leo ninaenda kukupa majibu ya hilo fumbo hapa hapa!
Tuendeleee
Maandiko ya Biblia kwa asilimia 99% hasa agano la kale limecopy Maandiko ya Sumeria ambayo ni makongwe Sana Kuliko maandiko yoyote yaliyowahi rekodiwa hapa Duniani,
Hili linaungwa mkono na jamii nzima ya Leo maana sumerian tablets ndio msingi wa ustaarabu wote wa Mwanadamu katika Historia ya Dunia,
Sumeria ilikua ndio sehemu ya kwanza Alphabet yenye character 600 +
Ikiiacha mbali Alphabet tuitimiayo yenye character 26 tu
Yaani ABC to Z basi
Pia Sumeria walikua na Mathematical table ya kushangaza Sana,
Wataalamu wa mambo kale Wanakiri endepo tutaweza gundua calculation na njia ya kufanya Hisabati kama wao tutapiga hatua Kubwa sana katika science and technology
Refer wanasayansi kushindwa fanya calculation za accient civilization zilizotumika katika ujenzi wa majengo kama Pyramids na site mbali mbali
(Mifano mnayo)
Sasa basi Bible ilicopy maandiko hayo sababu waliyanakiri na kucopy visa vile walikosa Information kuhusu Accient civilization hivyo kuoelekea kuunga unga visa vilivyokaa bila mpangilio maalumu yakiwa Randomly
(Wanatheolojia watanielewa)
Baada ya ugunduzi wa Sumerian tablets miaka ya 1880's na baadhi kuyatafsiri ndio tukajua zile information zote tata zimeelezewa Kwa ufasaha na kupangiliwa visa kuhusu Accient gods waliokuja kutoka Nibiru planet kutafuta dhahabu na hatimaye kumuumba Binadamu kama man power!
mkuu hii mada ina sehemu kuu mbili kama utakua umesoma kichwa cha mada ni nadharia iliyowaangazia anunak na hii mada ni ndefu nilishindwa kuendeleza kutokana na majukumu so nilitaka kuja na mada ya kuwaelezea hawa viumbe kwa upande wa pili kama divine being hii mada niliitengeneza kimtego sana nikianza kwa kuwaelezea Anunnak kama viumbe wa kawaida ila sasa nataka kuwaelezea kama Divine beings maana kwa picha ya kawaida watu wanashindwa kuelewa spiritual power inavyooparate Ulimwengu unaoonekana na usio onekana na ndio maana toka mwanzo sikutaka kuweka mambo hayo nisije kuchanganya mambo pia nilitaka watu wawe huru kujadili na kutoa maoni bila kuingiza mambo ya imani zao na mapokeo maana ni kweli hawa viumbe wameelezewa na old Bible kama Fallen Angel au Watchers na watu wengi hawajui story yao in deep na haijaelezewa kwa undani zaidi ya kugusia tu kidogoDumas, umenipoteza, mwanzo wa mada umetuambia kuwa Sisi binadamu tumetengezwa baada ya resistance ya IGIGI, then ENKI akaja na wazo la kumfanya kiumbe kutokana na viumbe waitwao ENKIDU ambao ni spicies ya Homo Elactus.
Then Ukasema Annunaki wakafanya Human manipulation kumtengeza mtu wa kwanza Adapa( Adamu) kwa kutumia DNA zao na manii kupandikiza kwa kiumbe mke aliyekuja kuzaa genre ya Homo sapiens kamili iliyokamilika..
Mara tena hapa unatuambia
Hawa gods walikua wanaonekana live kwa nguvu zao ila baadae MUNGU Mkuu wa miungu JEHOVA au EL ambae ndie the ALL aliwakomesha maana inadaiwa before aliumba ADAM wa kwanza majamaa yalikuja na science za Kuclone humanoid yakaleta machotara ya ajabu yaliyo corrupt nature na MUNGU EL akaamua ayafutilie mbali na kuyafungia gizani Yaani kwenye dimension yao ya Asili Sio hii pysical World!
Hao ndio divine being wa kale..
Budda hakuna maandiko ya moja kwa moja aisee maandiko yao yanafanyiwa tafiti na taasisi mbali mbali za kihistoria hivyo kwa sisi matomaso hua tunaingia vyanzo mbali mbali kuangalia update maana majamaa kila siku yapo site yanaleta uptadate vipande vipande hivyo inabidi kusoma vyanzo mbali mbali vinavyo fanana na uconnect dot ndio uelewe la sivyo unaingizwa chaka na hutaelewa moja kwa moja maana haya mambo ni mazito na yanachanganya usipokua smart na inteligent kichwa kitapasuka,Kwanini usiweke hapa haya maandiko ya Sumerian ili tusome wenyewe
😂😂😂Mbona wapo mkuu, hata mleta mada hii ni anunaki🙂
no sichanganyi ila nyie ndio mnachanganyikiwa mkiambiwa hivyoDumas Sasa Huyu Jehova au El according to you ama Sumerian text ndio aliuumba Adam?? Tuseme ENKI hakuumba Adapa(Adamu) mm naona kama unachanganya mambo [emoji23][emoji23][emoji23]
Nyingi ya hiz story ni here says bana. Ni watu flan flan wanaotaka kushikilia muda wa watu kutafiti Mambo yatakayowasaidia kubadili jamii zao. Hiv unafikiri huu ujinga watu wa far East kama China Japan nk wana muda wa kufuatilia au wanapambana jamiiforum zao ziwe na sauti dunian. Hiz Mambo wazungu wametuletea sisi tu.Budda hakuna maandiko ya moja kwa moja aisee maandiko yao yanafanyiwa tafiti na taasisi mbali mbali za kihistoria hivyo kwa sisi matomaso hua tunaingia vyanzo mbali mbali kuangalia update maana majamaa kila siku yapo site yanaleta uptadate vipande vipande hivyo inabidi kusoma vyanzo mbali mbali vinavyo fanana na uconnect dot ndio uelewe la sivyo unaingizwa chaka na hutaelewa moja kwa moja maana haya mambo ni mazito na yanachanganya usipokua smart na inteligent kichwa kitapasuka,
pia kuna mambo mengine hua nashindwa kuweka wazi au kufunguka maana vyanzo vya taarifa ni watu wanaoaminika na ni secret service ambao nimebahatika kua na acces nao kutokana kua mdau mkubwa wa mambo hayo,
pindi nikiweka hapa hao wapuuzi UNESCO &CO bado hawajajua baadhi ya siri nyingi za Dunia ya kale hua wanafuatilia kwa karibu machapisho kama haya kujua ukweli ili waufiche kubalance mass heisteria wanajua historia za uongo na mchongo walizodanganya watu kwa miongo mingi zitafichuka hivyo kusababisha watu kuanza kuhoji baadhi ya mambo mazito,
kipindi naanza hii mada mwanzoni tu nilifunguka baadhi ya code kadhaa ambazo hakuna pimbi mwingine angejua ila maajabu nikaona machapisho huko UROPA kwenye channel za YOUTUBE majamaa yamecopy na kuanza kufanyia utafiti maana sikuandika humu JF ni kwenye mtandao wa kufuatilia mambo kale majamaa yakaanza nisaka kwa udi na uvumba na unajua tech ni ndogo nikaona yatanifikia huku nikamute long time nimerudi juzi juzi tu hapa!
sitaki nongwa!