ANUNNAKI: Nadharia za Mungu, miungu, fumbo la sciencenscience na Teknolojia kubwa katika Dunia ya kale, kuanguka Kwa civilization na kuinuka Tena

Hii kitu ilianza vizuri Sana lakini inaanza kuharibika sababu ya maswari ya


Mh
 
Hapana mkuu Qurani kama kitabu kilikuepo na ukusanywaji wake ulianza tokea wakati wa mtume mwenyewe Qurani ilikuwa katika maandishi ipo na watu pia walihifadhi katika nafsi zao.

Aiseeh kina vichwa ngumu sana
 
Mkuu Mimi si mjuzi wa Mambo ya kale lakini nimfuatiliaji mzuri wa nyuzi Kama hizi zinazo zungumzia Mambo Kama haya

katika pitia pitia zangu nimekuja kubaini kwamba kuna vumi nyingi
Zinazo vuma kwamba hapa duniani tunaishi na viumbe wanao tokea sayari nyingine wakija na vifaa vinavyo jurikana Kama UFOS nawao wakitambulika Kama alliens

Lakini pia kwenye classification za Hawa aliens nime wai kukutana na aliens wanao itwa igigi ambao hapo juu umewataja Kama walikuwa wafanya kazi wa hao anunaki sons

Kizuri zaidi ni Jina ambalo nimeliona pia kwenye hiyo post yako hapo juu kitu ambacho kina Nipa ukweli frani juu ya post yako

Lakini pia Ina semekana kuna jamii ya viumbe ambao wana tuongoza mpaka Sasa japo kwa Siri Sana jamii hiyo inaitwa jamii ya mijusi au mijusi watu

Inasemekana viumbe Hawa wapo na niviongozi wakubwa tuu kwenye serikari kubwa za dunia

Sasa mkuu ningeomba kjua mengi juu ya habari hizi za viumbe Hawa

Kwamba je nikweli wapo?
Nini lengo lao kwa dunia yetu?
Je Wana uhusiano gani na hao anunakki?

Kiukweli natamani kujua mengi kuwa husu zaidi ya hayo niliyo yauliza hapo Kama yapo msaada tafadhari πŸ™πŸ™πŸ™
 
Kwa hiyo kuabudu kwetu ni bure ,tena imani yetu imepotea na sie tupo upotevuni tena ni kazi bure,kwa hiyo ni bora kula na kunywa kisha tufe na ndio mwisho wetu[emoji1][emoji1]

Habari inafurahisha kweli kweli
 
Mkuu Reptilian race tupo nao toka kale hapa hapa Duniani
zamani walikua live na asili yao ila baadae ukaja kutokea mgogoro mkubwa uliosababisha uadui mkubwa kati yao na humanoid kwakua mwanadamu ni kiumbe anaeweza kumaster spiritual supreme power au nguvu kuu hao viumbe waliamua kujificha kwenye dimension yao wakitumia advanced technology watafiti wanadai toka kale wameweka makazi yao kwenye base mbali mbali chini ya bahari kuu zote kulingana na jamii zao,vile vile waliweza kutengeneza tech ya kujibadilisha na kua Na mfanano kama wanadamu malengo yalikua ni kuitawala dunia ila walishafeli maana kulingana na historia ya Humanoid MUNGU mkuu the Creator of all gods,Human, Serpent Na Divine Being yaani JEHOVA/EL alisema kupitia race ya first Pure Human atakuja kuzaliwa Mwanadamu mwenye Uungu na atawakomesha hawa viumbe Wavamizi Wa Dunia maana atampa mamlaka Makuu ya kuhukumu Divine Beings Wote Walioacha makazi yao na kuja kui corrupt Dunia kwa kuharibu nature na kufanya human kua slave wao

nitakuja kumwelezea Master of Spiritual power au Mwana wa mmiliki na nguvu kuu alizonazo!
 
Shukrani Sana mkuu pia usisahau kutupa na chanzo Cha mgogoro pia mgogoro wenyewe mpaka wakaamua kuishi kwa kujificha mkuu
 
Dumas, umenipoteza, mwanzo wa mada umetuambia kuwa Sisi binadamu tumetengezwa baada ya resistance ya IGIGI, then ENKI akaja na wazo la kumfanya kiumbe kutokana na viumbe waitwao ENKIDU ambao ni spicies ya Homo Elactus.

Then Ukasema Annunaki wakafanya Human manipulation kumtengeza mtu wa kwanza Adapa( Adamu) kwa kutumia DNA zao na manii kupandikiza kwa kiumbe mke aliyekuja kuzaa genre ya Homo sapiens kamili iliyokamilika..

Mara tena hapa unatuambia


Hawa gods walikua wanaonekana live kwa nguvu zao ila baadae MUNGU Mkuu wa miungu JEHOVA au EL ambae ndie the ALL aliwakomesha maana inadaiwa before aliumba ADAM wa kwanza majamaa yalikuja na science za Kuclone humanoid yakaleta machotara ya ajabu yaliyo corrupt nature na MUNGU EL akaamua ayafutilie mbali na kuyafungia gizani Yaani kwenye dimension yao ya Asili Sio hii pysical World!

Hao ndio divine being wa kale..
 
Dumas Sasa Huyu Jehova au El according to you ama Sumerian text ndio aliuumba Adam?? Tuseme ENKI hakuumba Adapa(Adamu) mm naona kama unachanganya mambo [emoji23][emoji23][emoji23]
 

Ndio maana waislamu wanasema kuna mbingu ya 1,2,3,mpaka ya 12
 
Kwanini usiweke hapa haya maandiko ya Sumerian ili tusome wenyewe
 
mkuu hii mada ina sehemu kuu mbili kama utakua umesoma kichwa cha mada ni nadharia iliyowaangazia anunak na hii mada ni ndefu nilishindwa kuendeleza kutokana na majukumu so nilitaka kuja na mada ya kuwaelezea hawa viumbe kwa upande wa pili kama divine being hii mada niliitengeneza kimtego sana nikianza kwa kuwaelezea Anunnak kama viumbe wa kawaida ila sasa nataka kuwaelezea kama Divine beings maana kwa picha ya kawaida watu wanashindwa kuelewa spiritual power inavyooparate Ulimwengu unaoonekana na usio onekana na ndio maana toka mwanzo sikutaka kuweka mambo hayo nisije kuchanganya mambo pia nilitaka watu wawe huru kujadili na kutoa maoni bila kuingiza mambo ya imani zao na mapokeo maana ni kweli hawa viumbe wameelezewa na old Bible kama Fallen Angel au Watchers na watu wengi hawajui story yao in deep na haijaelezewa kwa undani zaidi ya kugusia tu kidogo
mkuu tuvumiliane nitakuja na mwendelezo kwa kina!
 
Kwanini usiweke hapa haya maandiko ya Sumerian ili tusome wenyewe
Budda hakuna maandiko ya moja kwa moja aisee maandiko yao yanafanyiwa tafiti na taasisi mbali mbali za kihistoria hivyo kwa sisi matomaso hua tunaingia vyanzo mbali mbali kuangalia update maana majamaa kila siku yapo site yanaleta uptadate vipande vipande hivyo inabidi kusoma vyanzo mbali mbali vinavyo fanana na uconnect dot ndio uelewe la sivyo unaingizwa chaka na hutaelewa moja kwa moja maana haya mambo ni mazito na yanachanganya usipokua smart na inteligent kichwa kitapasuka,
pia kuna mambo mengine hua nashindwa kuweka wazi au kufunguka maana vyanzo vya taarifa ni watu wanaoaminika na ni secret service ambao nimebahatika kua na acces nao kutokana kua mdau mkubwa wa mambo hayo,
pindi nikiweka hapa hao wapuuzi UNESCO &CO bado hawajajua baadhi ya siri nyingi za Dunia ya kale hua wanafuatilia kwa karibu machapisho kama haya kujua ukweli ili waufiche kubalance mass heisteria wanajua historia za uongo na mchongo walizodanganya watu kwa miongo mingi zitafichuka hivyo kusababisha watu kuanza kuhoji baadhi ya mambo mazito,

kipindi naanza hii mada mwanzoni tu nilifunguka baadhi ya code kadhaa ambazo hakuna pimbi mwingine angejua ila maajabu nikaona machapisho huko UROPA kwenye channel za YOUTUBE majamaa yamecopy na kuanza kufanyia utafiti maana sikuandika humu JF ni kwenye mtandao wa kufuatilia mambo kale majamaa yakaanza nisaka kwa udi na uvumba na unajua tech ni ndogo nikaona yatanifikia huku nikamute long time nimerudi juzi juzi tu hapa!

sitaki nongwa!
 
Dumas Sasa Huyu Jehova au El according to you ama Sumerian text ndio aliuumba Adam?? Tuseme ENKI hakuumba Adapa(Adamu) mm naona kama unachanganya mambo [emoji23][emoji23][emoji23]
no sichanganyi ila nyie ndio mnachanganyikiwa mkiambiwa hivyo
Anunnak waliandika historia yao kumtengeneza mtu kwa mfano wao hilo ni moja na pili ni anunnaki kumtengeneza modern man kwa kutumia spicies waliowakuta hapa Duniani hiyo ni nadhalia ya pili mimi nilichagua kuendesha mada kwa kutumia nadhalia ya kwanza na mada inaendelea nikija kuelezea nadhalia nyingine tofauti hasa kuwaelezea Anunnak kama Divine Beings
nadhani huko mbele nitakuja balance story na nitawashangaza Binadamu wote humu kwa ushahidi nitakao proof juu ya ukweli wote!
 
Nyingi ya hiz story ni here says bana. Ni watu flan flan wanaotaka kushikilia muda wa watu kutafiti Mambo yatakayowasaidia kubadili jamii zao. Hiv unafikiri huu ujinga watu wa far East kama China Japan nk wana muda wa kufuatilia au wanapambana jamiiforum zao ziwe na sauti dunian. Hiz Mambo wazungu wametuletea sisi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…