Anunnak walipokuja duniani kulikuwa hakuna binadamu/watu kabisa katika uso wa dunia au kulikuwa na watu ila wakaja kuumba binadamu.Daaaa aisee kazi ipo Annunaki sio Imani ni jamii ya viumbe kutoka Sayari ya Nibiru au Nephilims 12th Planet walioitembelea Dunia miaka zaidi ya 350,000 BCE Kwa ajili ya kuutafuta dhahabu na ndio walianzisha ustaarabu wa Mwanzo kama kujenga Pyramids,kuchimba Dhahabu na madini mbali mbali,pia walifanya mambo mengi Sana Katika accient world
ANUNNAK mwonekano wao ni kama Binadamu tulivyo ila ni wa refu futi Mpaka 12 wakiwa na mbawa mbili,
Ukiangalia michoro ya kale ya Wasumeria utawaona pia Kwa jamii za Israelites waliwaita Nephilims/Watchers/Angels
Watu wa kale waliwaabudu kama miungu sababu ndio waliofanya human cloning na human manipulation akapatikana
Homo sapiens,hivyo ilikua simple watu kuwaabudu kama miungu
Hujiulizi Kwa Nini Vitabu vya dini vimewaandika kwamba zamani Malaika walikuja duniani kutoka mbinguni na kuishi na watu lakini Leo kwanini hawaji?
Utapata jibu ya kwamba wale viumbe waliondoka na kurudi huko kwao na hawajawahi rejea ila nadharia zao kupitia dini zote duniani Bado zipo!
Maana kuna nadharia inasema watu na binadamu ni tofauti mpaka Leo hii miongoni mwetu kuna watu ambao ni originals wa dunia hii na kuna binadamu ambao ni cloned human beings.
Na kama walikuta hakuna watu/binadamu walikuta kuna viumbe vingine tuvijuavyo yaani kama samaki,nyoka,wanyama wa porini na wakufugwa na mimea yote hii tuionayo(re:biology:zoology and botany)
Au wao hawakukuta chochote walianza kazi ya uumbaji wa vyote hivyo mpaka ku clone huyo binaadamu?
Au la ndio kusema hao anunnak ndio Mungu sasa?
Mbona confusion ni nyingi sana.
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app