Anunua ekari 44 Mapinga

sixgates

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
3,979
Reaction score
1,665
Leo nlikuwa nmeenda mapinga kutizama vipolti japo nitafute pakuweka mgongo ila kuna sehemu nimeonyeshwa kiwanja kina ekari zinakaribia 44 naambiwa na madalali kuwa ni mali ya Yule msani wa wasafi. Tuacheni utani yule msanii ana hela tuweke chuki kando.
 
DOMO K!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ha ha namkubali ni struggle zake for sure
 
AY ndio msanii wa kwanza kutoka Bongo kukanyaga White house.
 
sio kiwanja tu ana majumba kibao town ikiwemo ile ya milioni 650 aliyonunua masaki ambayo atahamia na wema speteu(22) baada ya kumuoa..he is very rich yule kijana, haijawahi kutokea bongo
 
sio kiwanja tu ana majumba kibao town ikiwemo ile ya milioni 650 aliyonunua masaki ambayo atahamia na wema speteu(22) baada ya kumuoa..he is very rich yule kijana, haijawahi kutokea bongo

Mama ubaya ana miaka 22?
 
sio kiwanja tu ana majumba kibao town ikiwemo ile ya milioni 650 aliyonunua masaki ambayo atahamia na wema speteu(22) baada ya kumuoa..he is very rich yule kijana, haijawahi kutokea bongo
hiv masaki kumbe kuna nyumba bei rahis hiv?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…