sixgates
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 3,979
- 1,665
Leo nlikuwa nmeenda mapinga kutizama vipolti japo nitafute pakuweka mgongo ila kuna sehemu nimeonyeshwa kiwanja kina ekari zinakaribia 44 naambiwa na madalali kuwa ni mali ya Yule msani wa wasafi. Tuacheni utani yule msanii ana hela tuweke chuki kando.