hiv masaki kumbe kuna nyumba bei rahis hiv?!
sio kiwanja tu ana majumba kibao town ikiwemo ile ya milioni 650 aliyonunua masaki ambayo atahamia na wema speteu(22) baada ya kumuoa..he is very rich yule kijana, haijawahi kutokea bongo
sio kiwanja tu ana majumba kibao town ikiwemo ile ya milioni 650 aliyonunua masaki ambayo atahamia na wema speteu(22) baada ya kumuoa..he is very rich yule kijana, haijawahi kutokea bongo
Yaan nimechekaa balaaaaa
zipo boss
Mapinga ndio ipo wapi mkuu? ili tuje kuwa jirani na Dangote,mzee wa kupokelewa airport na tuzoLeo nlikuwa nmeenda mapinga kutizama vipolti japo nitafute pakuweka mgongo ila kuna sehemu nimeonyeshwa kiwanja kina ekari zinakaribia 44 naambiwa na madalali kuwa ni mali ya Yule msani wa wasafi. Tuacheni utani yule msanii ana hela tuweke chuki kando.
sio kiwanja tu ana majumba kibao town ikiwemo ile ya milioni 650 aliyonunua masaki ambayo atahamia na wema speteu(22) baada ya kumuoa..he is very rich yule kijana, haijawahi kutokea bongo
Wema Sepetu ana miaka 22?????
Kwa maneno ya chadema Kikwete ndie msanii wa kwanza toka bongo kukanyaga white hous
kama 2006 alikuwa miss, that means alikuwa na miaka lets say 20,
ukijumlisha 8 unapata ngapi vile?
keshazeeeeeeeeekaaa... nimeassume..
Navojua 2006 alikuwa na 18 kwaiyo + 8= 26 sasa sijui 22 imetokea wapi????
Leo nlikuwa nmeenda mapinga kutizama vipolti japo nitafute pakuweka mgongo ila kuna sehemu nimeonyeshwa kiwanja kina ekari zinakaribia 44 naambiwa na madalali kuwa ni mali ya Yule msani wa wasafi. Tuacheni utani yule msanii ana hela tuweke chuki kando.
mwenzio anahesabu mwaka mmoja baada ya miezi 24!
au wewe bado hujagundua hilo? ohoo, utaachwa kwenye mataa ya Ubungo...
Hahahahaaaaa.... Alaaah kumbe miaka 2=1 basi sawa..
Mzima lakini sijakusikia muda
mie mzima my angelitacious!
unaweza kusoma hiyo a.k.a? lol.
njoo CC bibie, huku tutang'atwa na watu maarufu!