tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
44 kitu gani? watu wana heka 700 na wapo tuliii, na inategemea heka kanunua bei gani!! kuna maeneo heka elfu 20 kwa hiyo ni kitu cha kawaida sana.
Mama ubaya ana miaka 22?
Mkuu mapinga ni bagamoyo so madalali huwa waongo sana wanakupa sound kibao kusudi ununue,mara hili shamba hpa la mkapa wewe utakua jirani yke so ukiwa ---- unaingia kichwakichwa.
Domo amalizie nyumba ndio tutamwona mjanja.
Hakuna baba mwenye gari au shamba,kuna baba mwenye nyumba
sure mkuu madali ndio zao hizo atakwambia kiwanja cha mbele hapo ni mbunge flani au hilo shamba la mbele ni mwinyi au ridhiwan ili mradi tu uvutike ununue kumbe ni waongo
:focus:
kwa issue ya diamond kununua mapinga eka 44 sidhani kama kuna ukweli navyoijua mapinga kuvua watu na kupata eka 44 ni ngumu,kwa bwax mapinga lwa eka ni more than 6m na kwa mbongo fleva kununua shamba la 250m aache kula bata sidhani labda ana eka 5 ukaambiwa 44.
Madalali wajinga sana mie niliendaga kutafuta apartment somewhere tabata, eti dalali ananiambia unaona iyo nyingine inayofata amechukua Masanja Mkandamizaji soon anaamia nikaishia kucheka tu sijui wanafikiri kila anayetafuta nyumba anatoka mkoani kwamba msanii ni ishu. Wakati sie tumewakimbia hao hao mazuzu. Iyo taarifa ya madalali yaweza kuwa kweli au walikuwa wanakutengeneza ujae.