tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
44 kitu gani? watu wana heka 700 na wapo tuliii, na inategemea heka kanunua bei gani!! kuna maeneo heka elfu 20 kwa hiyo ni kitu cha kawaida sana.
Mkuu mapinga ni bagamoyo so madalali huwa waongo sana wanakupa sound kibao kusudi ununue,mara hili shamba hpa la mkapa wewe utakua jirani yke so ukiwa ---- unaingia kichwakichwa.
Domo amalizie nyumba ndio tutamwona mjanja.
Hakuna baba mwenye gari au shamba,kuna baba mwenye nyumba