Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
🤣🤣🤣🤣🤣 kijana usifanye nipaliwe na ugoroHana doa? Mbona anayo.. Aisee tutasindikiza mno watu, kula yetu tu ya tabu halafu mtu ananunua mwewe kwa billions of mula😅
Mimi nipo hapa sijui jioni itafikaje Halafu kuna watu hawawazi wala nini, kwahiyo sisi tunasubiri kufa tu🤔🤣🤣🤣🤣🤣 kijana usifanye nipaliwe na ugoro
Laifu izi noti fea😹Hana doa? Mbona anayo.. Aisee tutasindikiza mno watu, kula yetu tu ya tabu halafu mtu ananunua mwewe kwa billions of mula😅
Usiwaze sana hatuwezi kuwa sawa wote wewe unawaza jioni itafikaje,Mimi nipo hapa sijui jioni itafikaje hakafu kuna watu hawawazi wala nini, kwahiyo sisi tunasubiri kufa tu🤔
Nyie watu🙆🏽♀️Laifu izi noti fea😹
Mambo ni mengi dunia iishe tu tujue mbivu na mbichi aisee!Usiwaze sana hatuwezi kuwa sawa wote wewe unawaza jioni itafikaje,
Ila kuna watu ni vipofu viwete hao utasemaje mkuu?
🤣🤣🤣🤣Mambo ni mengi dunia iishe tu tujue mbivu na mbichi aisee!
Hawa kwenye tv yao uko mbinguni tuone walipataje hizo pesa haiwezekani🥹🤣🤣🤣🤣
Unahisi kuna mambo chini ya kapeti wamefanya?Hawa kwenye tv yao uko mbinguni tuone walipataje hizo pesa haiwezekani🥹
bahati ya mwenzio usilalalie mlango, wezi wataingia wakuibieMimi nipo hapa sijui jioni itafikaje hakafu kuna watu hawawazi wala nini, kwahiyo sisi tunasubiri kufa tu🤔
Sihisi ila kwani sisi tumemkosea nini Mungu hata ela ya kula tu😓Unahisi kuna mambo chini ya kapeti wamefanya?
Hii ni more than bahati! Maybe a blessingbahati ya mwenzio usilalalie mlango, wezi wataingia wakuibie
kila mtu na level zake, wewe kwenye birthday yako ukiletewa hata kunguru pokea ,hahahahaHii ni more than bahati! Maybe a blessing
yaan nikiona haya hua nashindwa kuelewa kama pressure inapanda au inashuka.Hana doa? Mbona anayo.. Aisee tutasindikiza mno watu, kula yetu tu ya tabu halafu mtu ananunua mwewe kwa billions of mula
Si tuliambiwa kufa hatufi ila chamoto tutakionaMimi nipo hapa sijui jioni itafikaje Halafu kuna watu hawawazi wala nini, kwahiyo sisi tunasubiri kufa tu🤔
Bora niletewe kuku, kunguru hapana!kila mtu na level zake, wewe kwenye birthday yako ukiletewa hata kunguru pokea ,hahahaha