Anunuliwa mwewe wa Billion 1.1 kama zawadi ya birthday

Anunuliwa mwewe wa Billion 1.1 kama zawadi ya birthday

Msichana mmoja alitaka mwewe mweupe adimu (White Falcon) mwenye thamani ya crore 4 za rupia za India kwa ajili ya siku yake ya kuzaliwa, hivyo baba yake alisema, ‘Endeleeni kuongeza dau hadi muupate.’”

Video zilizosambaa mtandaoni zenye majina kama “4cr falcon UAE girl” zinahusiana na mauzo makubwa yaliyovunja rekodi katika maonesho ya Abu Dhabi International Hunting and Equestrian Exhibition (ADIHEX 2026), ambapo mwewe mweupe adimu sana alinunuliwa kwa Dirham milioni 1.5 za UAE, sawa na takribani rupia crore 3.5 hadi 4 za India. Kwa Tanzania ni zaidi ya Billion 1.1

Mwewe huyo ni aina adimu sana inayojulikana kama “Ultra White Pure Gyr Qarmousha”, aliyefugwa na Mark Modglich Falcon Farm nchini Marekani. Ana uzito wa takribani gramu 1,000 na anajulikana kwa manyoya yake meupe kabisa yasiyo na doa, jambo linalomfanya kuwa wa thamani kubwa katika utamaduni wa ufugaji wa mwewe katika nchi za Kiarabu.
View attachment 3664959
View attachment 3664962
View attachment 3664968View attachment 3664969View attachment 3664970View attachment 3664971View attachment 3664972
 
Mimi nipo hapa sijui jioni itafikaje Halafu kuna watu hawawazi wala nini, kwahiyo sisi tunasubiri kufa tu🤔
Hao ndio wanaishi mkuu , sisi wengine hatuishi tunadumu tu duniani
 
Hawa mbwa wa UAE sijui Saudi hawana tofauti na wayahudi wanatakiwa kumalizwa wote
 
jaman bado sijapata spray nyeupe kwa ajili ya manyoya ya ndege, njoo PM
 
Back
Top Bottom