Lady Mwali
Senior Member
- Nov 15, 2018
- 147
- 333
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hi ndo Bongo....kila kitu tunakurupukaYaani umeniwahi nilikuwa nataka niulize huku mitaani nguzo za miti ndio zimetumika,tena hizo kwenye picha bira hata zimepakwa rangi,hivi kweli ndio zoezi limeishia hapo baada ya mbwembwe zote hizo?
Hapa tunajipa miezi miwili au mitatu mchwa watakuwa wamefanya kazi yao
Inatia hasira sanaHi ndo Bongo....kila kitu tunakurupuka
[emoji3][emoji3]
Haya sasa masihara....tuko siriaz kweli?
[emoji23][emoji23][emoji23]Bora ya kwenu.... Kwetu mkoa wa pwani tunachangishwa sh 4000 kwa ajili ya kulipia vibao vya kubandika mlangoni.
Aah aah na ni lazima
#Shukrani kwa mama, anaupiga mwingi! Umesahau mkuu.Hivi Hawa kweli wameshindwa hata kutumia mbao nzuri?
Hata kama ni miti ingekuwa imenyooka vizuri
Ndio serikali yako ya sa100 inaupiga mwingi.Hivi Hawa kweli wameshindwa hata kutumia mbao nzuri?
Hata kama ni miti ingekuwa imenyooka vizuri
RubbishNdio serikali yako ya sa100 inaupiga mwingi.
#MaendeleoHayanaChama