komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Mungu wangu...hyo ndo nn sasa....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yani unataka kulinganisha hyo na windsor kwel...watanzania bana...na ujue hotel prices hu varry na season pia na mahali...
Furahia hz kwanza...
Furahia hz kwanza...
Kwani wewe hapa unajaribu kunionesha nini? hilo bwawa la vyura au? Mi nimekuonesha Golf course ya Sea Cliff resort tu ujionee kitu kinavoshine, sio mavumbi yenuView attachment 1175550