Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Hizo ni promotion fare za PAA kwenda na kurudi bondeni, zimeanza leo na kudumu kwa mwezi mmoja tuu!. Na kwa wasio fahamu, Watanzania, hatuhitaji viza kuingia South!.Mkuu Pasco,
Hizo bei za kwenda south zimeanza lini? Au ni special offer kwa muda fulani? Nijuze nami niende bondeni kubadili Oxygen.
Ubarikiwe sana mkuu. Nashukuru kwa hii taarifa. Si unajua kubadilisha Oxygen kwenye ubongo kunasaidia sana. Ukikaa sana humu Tanzania bila kutoka ubongo unasizi.Hizo ni promotion fare za PAA kwenda na kurudi bondeni, zimeanza leo na kudumu kwa mwezi mmoja tuu!. Na kwa wasio fahamu, Watanzania, hatuhitaji viza kuingia South!.
Mimi napendelea Muhamed Trans, ni non-stop mwanzo mwisho isipokuwa labda kusimama kuchimba dawa hapa na pale dakika kumi or so, bei zake zinapangwa na serikali kwa hiyo hakuna unpredictability and price gyrations, na reporting time is just about 15min kabla chombo haijaamsha. Na tiketi unaweza kupata asubuhi hiyo hiyo ya safari, just show up at the damn terminal, gharama za extra luggage ni peanuts na still unaweza kulia na officials wakakupetesha vile vile, na hakuna haja ya kukata tiketi ya kwenda na kurudi, unakata tiketi ya safari moja tu, ukipachoka huko uliko unaenda terminal unakata tiketi ya kurudi hapo hap, unageuza. Hakuna worries sijui za kusubiri connecting flight masaa 13, sijui inafika saa tisa usiku, sijui transit visa, mara sijui bei zimepanda zimeshuka, sijui unapitia miji ambayo hurusiwi kutoka nje ya uwanja, sijui kukusanya flier miles..... aaaaaaah! Home Sweet Home!
Hizo ni promotion fare za PAA kwenda na kurudi bondeni, zimeanza leo na kudumu kwa mwezi mmoja tuu!. Na kwa wasio fahamu, Watanzania, hatuhitaji viza kuingia South!.
Yes very sure!.r u sure?
Inamaana hata this weekend naweza kukurupuka nikaenda nikarudi?
Yes very sure!.