Mimi napendelea Muhamed Trans, ni non-stop mwanzo mwisho isipokuwa labda kusimama kuchimba dawa hapa na pale dakika kumi or so, bei zake zinapangwa na serikali kwa hiyo hakuna unpredictability and price gyrations, na reporting time is just about 15min kabla chombo haijaamsha. Na tiketi unaweza kupata asubuhi hiyo hiyo ya safari, just show up at the damn terminal, gharama za extra luggage ni peanuts na still unaweza kulia na officials wakakupetesha vile vile, na hakuna haja ya kukata tiketi ya kwenda na kurudi, unakata tiketi ya safari moja tu, ukipachoka huko uliko unaenda terminal unakata tiketi ya kurudi hapo hap, unageuza. Hakuna worries sijui za kusubiri connecting flight masaa 13, sijui inafika saa tisa usiku, sijui transit visa, mara sijui bei zimepanda zimeshuka, sijui unapitia miji ambayo hurusiwi kutoka nje ya uwanja, sijui kukusanya flier miles..... aaaaaaah! Home Sweet Home!