Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni-PM namba zako za simu basi, nianze kurusha nyavu?
tukisha wasiliana tufanyeje...?
utafaham baada ya kuwasiliana nae...........,
huyu muoga tu, anaogopa wakaribu ataweza wa mbali?
Jipime uwezo wako kwa kupambana na mimi.
akumbuke ule msemo wa Fimbo ya mbali.........,
Tuwasiliane basi
Mi nilidhani unataka kutupa maakili kumbe...
Maujanja? Hakuna maujanja katika hilo zaidi ya kuvumilia Machungu tu kama Brandy....
Competition yako siiwezi ndo maana nikaanza kwa kuomba utuachie japo hii nafasi