Any girl interested in a long distance relationship

Any girl interested in a long distance relationship

Wapenzi wa hivi safi sana, hapa nnauhakika hela ya nauli na marupurupu kila wiki....
unapatikana wapi dia
 
mh watu mna njaa..hicho ni kidume kinatafuta mdada wapumzikiane..
 
Maujanja? Hakuna maujanja katika hilo zaidi ya kuvumilia Machungu tu kama Brandy....


Mi nilidhani unataka kutupa maakili kumbe...
 
Last edited by a moderator:
I dont believe in.....vidada vinavyoshobokea watu walioko nje vitaandamaneje sasa......! Container hilo changamkieni, yani bonge la DUMU
hahahahaha kuwa muke ya abroad si haba kwa limbukeniz
 
Back
Top Bottom