N Naitwa Nani Member Joined Dec 18, 2011 Posts 29 Reaction score 2 Apr 10, 2012 #1 Wadau naomba kuuliza kwa mtu yeyote aliyefanya Interview NSSF!! Waliwaita watu wote ambao walikuwa wanawahitaji kwa second Interview au bado wataita tena??
Wadau naomba kuuliza kwa mtu yeyote aliyefanya Interview NSSF!! Waliwaita watu wote ambao walikuwa wanawahitaji kwa second Interview au bado wataita tena??
A azou New Member Joined Aug 24, 2011 Posts 4 Reaction score 1 Apr 10, 2012 #2 Tumeshafanya second intrvw wiki 2 zilizopita tunasubiri kuanza kazi wk ijayo.
L luckitu Member Joined Jun 28, 2009 Posts 10 Reaction score 2 Apr 10, 2012 #3 ni kweli nasikia kuna baadhi wameshaitwa kazini tayari
L luckitu Member Joined Jun 28, 2009 Posts 10 Reaction score 2 Apr 10, 2012 #4 Ila nasikia wanaendelea kupigwa simu kwa hiyo kama ni bahati yako unaweza kuitwa
N Naitwa Nani Member Joined Dec 18, 2011 Posts 29 Reaction score 2 Apr 11, 2012 Thread starter #5 luckitu said: Ila nasikia wanaendelea kupigwa simu kwa hiyo kama ni bahati yako unaweza kuitwa Click to expand... Ahsante kwa Taarifa!! Be blessed!!
luckitu said: Ila nasikia wanaendelea kupigwa simu kwa hiyo kama ni bahati yako unaweza kuitwa Click to expand... Ahsante kwa Taarifa!! Be blessed!!
N Naitwa Nani Member Joined Dec 18, 2011 Posts 29 Reaction score 2 Apr 11, 2012 Thread starter #6 Poa Wadau nimewasoma!!
W wabarakuu2 New Member Joined Jan 25, 2012 Posts 2 Reaction score 0 Apr 11, 2012 #7 do hawajaanza kuita kwa waliofanya second interview.hesabu wiki tatu toka interview ndipo utakapojua kama umechaguliwa au la
do hawajaanza kuita kwa waliofanya second interview.hesabu wiki tatu toka interview ndipo utakapojua kama umechaguliwa au la