Any update kwa waliofanya interview NSSF?

Any update kwa waliofanya interview NSSF?

Naitwa Nani

Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
29
Reaction score
2
Wadau naomba kuuliza kwa mtu yeyote aliyefanya Interview NSSF!!
Waliwaita watu wote ambao walikuwa wanawahitaji kwa second Interview au bado wataita tena??
 
Tumeshafanya second intrvw wiki 2 zilizopita tunasubiri kuanza kazi wk ijayo.
 
Ila nasikia wanaendelea kupigwa simu kwa hiyo kama ni bahati yako unaweza kuitwa
 
do hawajaanza kuita kwa waliofanya second interview.hesabu wiki tatu toka interview ndipo utakapojua kama umechaguliwa au la
 
Back
Top Bottom