Anyimwa msaada na Yanga kwa sababu ya Usimba

Roho mbaya tu

Wanajidai wanatoa misaada kumbe ni exchange of something in return

Na sisi tungewafanyia hivyo kwenye ule msimu wa bakuli sijui hata hiyo nafasi ya pili kama wangeipata.
 
Huwezi kupangia mtoa msaada akae na jezi yake... Kwani lazima apewe msaada.
 
Huwezi kupangia mtoa msaada akae na jezi yake... Kwani lazima apewe msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…