Anyone from Dodoma?

Anyone from Dodoma?

Haa kuna siku nilikula nyama sijui ilikua ya yobwe ile make shingo ilikua ndefuuu mpaka nikashtuka

Nyie ndio mkisafiri mnakula kila kitu...mahindi,karanga,mayai,nyama,biskut,korosho...tumbo linakuwa km gari ya taka haliachi mzigo
 
Back
Top Bottom