Anza biashara ya kuagiza simu kutoka China hadi Tanzania kwa mtaji mdogo wa laki tano tu

Huyu Jamaa sio wa kumwamini mana kachanganya sana Code hapo juu kwenye heading na maelezo ya chini
Yes jaribu kufiri na wew mwenyew kwa akili yako hauja lazimishwa kuelewa mkuu utakavyo amua ww ndio sahih😂
 
Huyu Jamaa sio wa kumwamini mana kachanganya sana Code hapo juu kwenye heading na maelezo ya chini
Amesema yeye ameagiza 100 pcs wewe unaweza kuagiza chini ya hapo , Sasa usichoelewa ni Nini hapo yani ili mradi tu mlete ligi zisizo na maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…