Anza biashara ya kuagiza simu kutoka China hadi Tanzania kwa mtaji mdogo wa laki tano tu

Anza biashara ya kuagiza simu kutoka China hadi Tanzania kwa mtaji mdogo wa laki tano tu

Matapeli kwel wapo endapo utafanya biashara nje ya app ya alibaba kwamfano unataka kununa simu alafu supplies anakuamby tuchat whatsapp usikubali utatapeliwa piah kama unahitaji kujua zaidi nichek whatpp ntakutumia video inayokulekeza jinsi yakupat supplies mzuri 0788906890
Nitakutafuta mkuu
 
Daaah kweli nimeamini watanzania wengi tuna matatizo ya mtindio wa ubongo, yaani watanzania wengi hamna akili kabisa sijui shida ni nini.

Eti bidhaa ikiwa bei chee ni fake, hivi hamjui jinsi ya kuijua bidhaa fake? kumbe dawa yenu ni kuwauzia bei ghali tu

Mtoa mada, hizo simu wauzie 50k hawa mbwa wa kibongo walioharibiwa akili na kuku wa kisasa.

BTW, Asante sana kwa somo mkuu, Mungu akubariki, ninampango wa kununua Redmi nitakutafuta bro
 
Blessed sana bro[emoji120]
 
Sijui kuhusu mengine, ika nilinunua simu mbili kwa huyu jamaa mwaka jana na matumixi ya hizo simu ni dukani ambako zipo busy, hazijawahi kunisumbua hadi leo.
Shukran boss wangu [emoji346][emoji346][emoji345][emoji345][emoji344][emoji344][emoji344][emoji344][emoji1666]
 
a0b1740d-dcdc-41b7-a3f8-6a299c5a8d50.jpg

7c702393-fe08-4c9a-a2f4-2ac1c04b54f6.jpg

Mkuu Mzigo niko nao Bei ya Jumla 25000

Namba 0672883431
 
Attachments

  • dc6f7a21-a8a3-4023-80be-8345428cf0b5.jpg
    dc6f7a21-a8a3-4023-80be-8345428cf0b5.jpg
    180.3 KB · Views: 16
Back
Top Bottom