Anza hivi Kucheza kwenye draft, utasumbua sana.

Anza hivi Kucheza kwenye draft, utasumbua sana.

wa
Wamenipa 664046. Ila sasa sijuo linaendaje na mnacheza la nchi gani. Maana mengi hatuendani.
Nashindwa kukuona pengine kuna namna ya kumtafuta mtu ambaye una id yake ila option ya search sijaiona
 
Kuna jamaa akianzaga yeye lazima anifunge ila nikimuwahi lazima nae akalie, huwa anatoka na ya major then mm nakata au nakosea wapi wadau
 
Nashindwa kukuona pengine kuna namna ya kumtafuta mtu ambaye una id yake ila option ya search sijaiona
Ngoja jamaa aje atupe maujanja. Nimecheza moja spanish. nimemkata mpinzani 2-0
 
wacheza kitu kitu wa Dar........Mesi, dogo Hamisi, Deo, Magwelele, Aaah Mchafu amefariki........, na wale wa Chanika Msumbiji nk sasa Drafti limekuwa ajira
Hahaha Messi yule muuza urembo anamatatizo hatarii

Hamisi yupi wa kiwalani au?
 
Kuna draft linalochezwa sehemu za Mbeya, songwe,asili yake ni Zambia na Malawi unakula mbele na nyuma
 
Hahaha Messi yule muuza urembo anamatatizo hatarii

Hamisi yupi wa kiwalani au?
Messi huyo huyo muuza urembo...........Urembo anazuga tu kutwa kwenye vijiwe vya kitu kitu.............Na hamisi ni huyo wa Kiwalani Leo amepasuka kaliwa Tshs 20,000/= Chadema Kiwalani na Kipara alimpa SARE mbili...........amepasuka.............na Deo alimpa Sare Moja Mchaga nae kapasuka...........
 
Kipara zidane hahaaa aiseee mara ya mwisho nilimfunga goli moja pale mwembeni kiwalani japo kwa shida sana

Kuna yule kipara rafiki yake kapilima aisee yule jamaa ni mtupu
 
Sanaaaaaaaaaaa tu na nimeshachezanae tu mara nyingi kwenye maligi Nenda maeneo ya kiwalani utaona Shida zilizopo huko...........Watu wanapiga KOKWA ile mbaya wana Njaa mpaka Mwarobaini wanafanya MUWA.............!!!!
Hahaaa kumbe nawewe kiwalani unakupata freshi
 
Kipara zidane hahaaa aiseee mara ya mwisho nilimfunga goli moja pale mwembeni kiwalani japo kwa shida sana

Kuna yule kipara rafiki yake kapilima aisee yule jamaa ni mtupu
umenikumbusha mbali hivi Kapilima yupo..........!!!???
 
Back
Top Bottom