Nashindwa kukuona pengine kuna namna ya kumtafuta mtu ambaye una id yake ila option ya search sijaionawa
Wamenipa 664046. Ila sasa sijuo linaendaje na mnacheza la nchi gani. Maana mengi hatuendani.
Kawaida kete ya major ukiikata unakuwa kwenye disadvantage. Ila ngoja waje wanokataga watakusaidia cha kufanya.Kuna jamaa akianzaga yeye lazima anifunge ila nikimuwahi lazima nae akalie, huwa anatoka na ya major then mm nakata au nakosea wapi wadau
Alikuloga huyo,au kama ni french inawezekana hiyo.Kuanza ni rahisi kumaliza ni shida
Kuna jamaa nilimfyeka kete nane akabaki na nne mi nina tisa akanichapa bila huruma
Af kuna mzee juma wa kkoowacheza kitu kitu wa Dar........Mesi, dogo Hamisi, Deo, Magwelele, Aaah Mchafu amefariki........, na wale wa Chanika Msumbiji nk sasa Drafti limekuwa ajira
Hahaha Messi yule muuza urembo anamatatizo hatariiwacheza kitu kitu wa Dar........Mesi, dogo Hamisi, Deo, Magwelele, Aaah Mchafu amefariki........, na wale wa Chanika Msumbiji nk sasa Drafti limekuwa ajira
lete jogoo uundishweNapenda sana kujua kucheza draft, nitumie njia gani?
Messi huyo huyo muuza urembo...........Urembo anazuga tu kutwa kwenye vijiwe vya kitu kitu.............Na hamisi ni huyo wa Kiwalani Leo amepasuka kaliwa Tshs 20,000/= Chadema Kiwalani na Kipara alimpa SARE mbili...........amepasuka.............na Deo alimpa Sare Moja Mchaga nae kapasuka...........Hahaha Messi yule muuza urembo anamatatizo hatarii
Hamisi yupi wa kiwalani au?
Nipe linkMkuu playstore lipo draft ambalo tunaweza cheza online, shida yake haliruhusu chatting
Sanaaaaaaaaaaa tu na nimeshachezanae tu mara nyingi kwenye maligi Nenda maeneo ya kiwalani utaona Shida zilizopo huko...........Watu wanapiga KOKWA ile mbaya wana Njaa mpaka Mwarobaini wanafanya MUWA.............!!!!Magwelele anasifika nchi nzima. Umewahi mshuhudia akikipiga?
Kipara zidane hahaaa aiseee mara ya mwisho nilimfunga goli moja pale mwembeni kiwalani japo kwa shida sanaMessi huyo huyo muuza urembo...........Urembo anazuga tu kutwa kwenye vijiwe vya kitu kitu.............Na hamisi ni huyo wa Kiwalani Leo amepasuka kaliwa Tshs 20,000/= Chadema Kiwalani na Kipara alimpa SARE mbili...........amepasuka.............na Deo alimpa Sare Moja Mchaga nae kapasuka...........
Hahaaa kumbe nawewe kiwalani unakupata freshiSanaaaaaaaaaaa tu na nimeshachezanae tu mara nyingi kwenye maligi Nenda maeneo ya kiwalani utaona Shida zilizopo huko...........Watu wanapiga KOKWA ile mbaya wana Njaa mpaka Mwarobaini wanafanya MUWA.............!!!!
umenikumbusha mbali hivi Kapilima yupo..........!!!???Kipara zidane hahaaa aiseee mara ya mwisho nilimfunga goli moja pale mwembeni kiwalani japo kwa shida sana
Kuna yule kipara rafiki yake kapilima aisee yule jamaa ni mtupu
NdiyoUzuri wa draft unaweza kujua copy ila usijue kumalizia. Au mtu akakubadilikia padogo ukapoteana. Mabingwa wataendelea kula hela.
umenikumbusha mbali hivi Kapilima yupo..........!!!???