Wauzaji wa containers
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 615
- 1,443
hapo hapo mnasema tusijitenge na watu ili tupate connection ya kibiashara,kazi au deals,mmhhh
kwa kifupi mnatuambia tutoke magetoni wakati huo huo tujitenge na watu ila hapo hapo tuwe karibu na watu,maisha yamekuwa magumu cha kushika ni kipi???
Kwani wasipoandika Una hasara gani na umeshakufaUkifa bila ndugu zako kujua kazi yako
Wosia wako utaandikwa na nani?
Umenikumbusha tena tabia hii wanayo wasukuma kanda ya ziwa.Tumia kanuni ya kuwanyima watu taarifa zako .
Wasijue upo wapi
Wasijue unafanya nini
Wasijue Kazi yako
Wasijue biashara zako wala kazi zako.
Wasijue mipango yako
Hii -ndo njia bora ya kuwa safe wewe dili na watu ambao mnafanya wote maisha .
Hakikisha unakuwa na sura mbili
Hakuna kitu kinaleta heshima Kama watu kutokujua habari zako.
icho kitu niliwahi kukifanya, nilifunga vioo.Tumia kanuni ya kuwanyima watu taarifa zako .
Wasijue upo wapi
Wasijue unafanya nini
Wasijue Kazi yako
Wasijue biashara zako wala kazi zako.
Wasijue mipango yako
Hii -ndo njia bora ya kuwa safe wewe dili na watu ambao mnafanya wote maisha .
Hakikisha unakuwa na sura mbili
Hakuna kitu kinaleta heshima Kama watu kutokujua habari zako.
Hujamuelewa mtoa madahapo hapo mnasema tusijitenge na watu ili tupate connection ya kibiashara,kazi au deals,mmhhh
kwa kifupi mnatuambia tutoke magetoni wakati huo huo tujitenge na watu ila hapo hapo tuwe karibu na watu,maisha yamekuwa magumu cha kushika ni kipi???
Hapo sasaKwani wasipoandika Una hasara gani na umeshakufa
Kila jambo lina faida na hasara zake.Tumia kanuni ya kuwanyima watu taarifa zako .