Anza na hua sipendi.....

Anza na hua sipendi.....

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Hua sipendi tabia ya uzi kichwa cha habari ni kiswahili alafu uzi ni kingereza..
Hia sipendi mtu anaomba ushuri watu wanamjibu ndivyo sivyo....
Hua sipendi mtu anaandika uzi kiswahili anajibiwa kingereza....
Ebdelea hua hupindi nini...
 
hua sipendi tabia yako ya kupiga debe pale standi.
 
Sipendi wanaofanya dhihaka kwenye nyuzi nyeti,nyuzi bin nyuzi.
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]mkuu huku stendi ni kazi maalum[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] ndi nilikopangwa mi mwenyewe sipendi ila ndo kazi ila naipenda balaa maana ni nzuri kuliko mshahara
 
hua sipendi unavyotulazimisha tutumie neno hua angali ukijua sisi tuko bussy na maisha
 
Hua sipendi mtu anatoa taarifa kama yeye alikuwepo kumbe si kweli na wakati mwingine huwa si kweli!
 
Back
Top Bottom