Sielewi kwa nini mlikimbia panya roadsielewi kwanini wanatuita wanaume wa dar
Sielewi kwa nini mlikimbia panya road
sielewi kwa nn wanaume wa dalisalama wanapenda kutumia ViagraSijui kwanini wanaume wa mikoani wanaongoza thread kuwa wana vibamia.
Sielewi kwa nini wanaume wa Dar es Salam wanashindia chips mayayi.sielewi kwa nn wanaume wa dalisalama wanapenda kutumia Viagra
Sielewi kwanin una akili nyingi kiasi hichoSielewi kwanini usianzishe uzi wako unaoanza na ' sijui kwanini'
Sielewi kwa nini umeanzisha uzi huuAndika post ukianza na maneno "Sielewi kwanini....."
Mfano mimi naanza "Sielewi kwanini wanaume wenye vitambi wanapenda videmu vyembamba"
Haya wakuu, twende kazi.........
Sielewi kwanini unadiriki kuita members wenzako mijitusielewi kwanini kuna mijitu eti iko jamii forum kuanzia april 2016
Sielewi kwanini unawaza pesa tu badala ya kufanya kazi kwa bidiiSielew kwanini hakuna nyongeza ya mshahara