Anza na Sielewi kwanini...

Anza na Sielewi kwanini...

Sielewi kwanini watanzania walikuwa wanataka Rais mkali, sasa wamempata wanahaha!
 
Andika post ukianza na maneno "Sielewi kwanini....."

Mfano mimi naanza "Sielewi kwanini wanaume wenye vitambi wanapenda videmu vyembamba"

Haya wakuu, twende kazi.........
Sielewi kwa nini umeanzisha uzi huu
 
Back
Top Bottom