Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
- Thread starter
-
- #41
Sielewi kwanini unajitoa ufahamuNaelewa.. sorry sielewi kwanini sielewi
Sielewi kwanini huelewi kwanini huelewiSielewi kwa nini sielewi
Sielewi kwanini umeanza na sijui kwanini wakati unapaswa kuanza na sielewi kwaniniSijui kwanini wanaume wa mikoani wanaongoza thread kuwa wana vibamia.
Sielewi kwanini usiendelee kumpenda demu wako uliye nayeSielewi kwa nini nampenda Jane...
Sielewi kwanini unasema hivyo mkuuSielewi kwanini Jane Unawaza waza tu ngono
Hasi na hasa (kitambi kwa kitambi) lazima moja iwe hasi na nyingine iwe chanyaAndika post ukianza na maneno "Sielewi kwanini....."
Mfano mimi naanza "Sielewi kwanini wanaume wenye vitambi wanapenda videmu vyembamba"
Haya wakuu, twende kazi.........
Sielewi kwanini unashindwa kuwa mstaarabu kwenye nyuzi za watukampelewunasbin 16591221 said:Hasi na hasa (kitambi kwa kitambi) lazima moja iwe hasi na nyingine iwe chanya
Sielewi kwanini mi mbona naona maisha kawaida tuSielewi kwa nini maisha yamekua ghali sana.
sielewi kwanini hakukuwa na juma sita na juma saba!!
Sijui + Sielewi = ??Sielewi kwanini umeanza na sijui kwanini wakati unapaswa kuanza na sielewi kwanini
Sielewi kwa nini huelewi kwamba sielewiSielewi kwanini huelewi kwanini huelewi
sielewi kwann sijifahamuSielewi kwanini unajitoa ufahamu
Kwan kuelewa lazma ufafanuliwe au uelezwe?Lugha sahihi hapo ingekuwa ni 'sijui kwa nini? Ukisema sielewi ina maana umeelezwa ama kufafanuliwa jambo fulani lakini umeambulia patupu, au kichwa ngumu.