Anza na Sielewi kwanini...

Anza na Sielewi kwanini...

Andika post ukianza na maneno "Sielewi kwanini....."

Mfano mimi naanza "Sielewi kwanini wanaume wenye vitambi wanapenda videmu vyembamba"

Haya wakuu, twende kazi.........
Hasi na hasa (kitambi kwa kitambi) lazima moja iwe hasi na nyingine iwe chanya
 
Sielewi kwa nini JF members wafuata thread na kuandika ujinga tu. Fanyeni kazi na tumieni MB zetu vizuri.
 
kampelewunasbin 16591221 said:
Hasi na hasa (kitambi kwa kitambi) lazima moja iwe hasi na nyingine iwe chanya
Sielewi kwanini unashindwa kuwa mstaarabu kwenye nyuzi za watu
 
Sielewi kwanini SINGLE MOTHERS wanaongezeka kwa kasi siku hizi
 
Lugha sahihi hapo ingekuwa ni 'sijui kwa nini? Ukisema sielewi ina maana umeelezwa ama kufafanuliwa jambo fulani lakini umeambulia patupu, au kichwa ngumu.
Kwan kuelewa lazma ufafanuliwe au uelezwe?
 
Sielewi kwanini ulifikiria uzi kama huu!
 
sielewi kwa.nini naandika hii post
 
Back
Top Bottom