Anza utaratibu wa kufanya maombi asubuhi alfajiri utajibiwa haraka sana

Bwana wetu Yesu anasema yeye ndiye mzabibu wa kweli na baba yake ndiye mkulima na sisi ni matawi pasipo yeye sisi hatuwezi kufanya neno lolote.

Yohana 15
Kwako wewe Kama ambaye unakutana changamoto za kiuchumi na magonjwa nk anza sasa kumtafuta Bwana Yesu katika mida hii ya kuanzia mida hii saa 10 mpaka 11 asubuhi nusu saa inatosha kufanya maombi fanya maombi yako nashukuru Mungu kwa ajili ya matendo makuu aliyokufanyia siku hiyo na siku iliyopita muombe Bwana Yesu mahitaji unayotaka akutendee kama unabiashara andika mahitaji uyaombee ili Yesu akutendee tembea na amri ya upendo utabarikiwa sana katika kuombea wengine

Wagalatia 5:14. Maana torati yote imetimilika katika neno moja, nalo ni hili, Umpende jirani yako kama nafsi yako.
.
Ombea neema kwa ajili ardhi unayoishi malengo na mipango yako yote ipate kibali
Ombea ndugu na marafiki
Ombea watu wote wanaoenda kutafuta riziki zao siku hiyo
Ombea amani na utulivu wa nchi
Ombea yatima na wajane
Ombea walemavu na wasiojiweza
Ombea wagonjwa waliolazwa
Ombea viongozi wako

Haya ni maombi ambayo utajibiwa haraka sana unavyokuwa unatembea na amri hii ya upendo kwa kuombea na kujali wengine unakuwa Kuna siri ambazo Mungu atakupa ili uweze kujua njia rahisi za kutatua kila tatizo unalokutana nalo mbele yako Siri zote katika kila jambo unalofanya ukitaka kuboresha kazi yako au biashara yako mtafute Mungu yeye atakupa hizo Siri usisome kitabu cha Siri za mafanikio Siri zote anazo Mungu

Danieli 2:22
yeye hufunua mambo ya fumbo na ya siri; huyajua yaliyo gizani, na nuru hukaa kwake.

kutembea na amri hii ya upendo unakuwa unarudisha upatanisho na Mungu wako tangu pale ulipoumbwa ulishakuwa umebarikiwa

Yeremia 1:5
Kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua, na kabla hujatoka tumboni, nalikutakasa; nimekuweka kuwa nabii wa mataifa.

Ila kwa sababu Kuna Kipindi ulikuwa mbali na Mungu yule shetani akaweza kuyafunga malango yako kila mtu anapokuja duniani anakuwa tayari anakuja kukamilisha zile baraka tangu kuzaliwa kwake hakuna binadamu anayekuja kutafuta mafanikio sisi tumeletwa ili kukamilisha lile kusudi kiurahisi sana

Waefeso 1:3
Atukuzwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, aliyetubariki kwa baraka zote za rohoni, katika ulimwengu wa roho, ndani yake Kristo;

Wakati utaanza kufanya maombi yako asubuhi hakikisha unasoma pia neno biblia kila siku tembea na maandiko yatakayokupa ushindi kila nyakati unazopitia soma neno kama dozi asubuhi,mchana na usiku kulishika soma biblia kama unajiandaa kufanya mtihani ndipo code za matatizo yako zinakavyofunguka kiurahisi sana

Yoshua 1:8
Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako, bali yatafakari maneno yake mchana na usiku, upate kuangalia kutenda sawasawa na maneno yote yaliyoandikwa humo; maana ndipo utakapoifanikisha njia yako, kisha ndipo utakapositawi sana.

Mfano Kama Kuna jambo umepambana kwa muda mrefu sana bila mafanikio soma kutoka katika kitabu cha 1 wafalme 18:30-42 code hii utaifungua hapa kwa kusoma andiko hili na kulishika neno tu

Mungu alivyomaliza ukame uliodumu kwa kipindi kirefu katika nchi
Human crafted stories. Mungu halali na hasinzii.
 
Amina
 
Msidanganyane

Real problems require real solutions
Shalom!
Sio ushauri ila ni mtazamo wako upo chini(poor thinking 🤔).watu wanaongelea IMAN wewe upo in a physical 🌎 world touch. Hujui mambo .tafuta ukweli pengine utarudi hapa kudai ufundishwe namna yakujitoa ulipo.
 
M
Hutakiwi kumuomba Mungu ukiwa na shida changamoto na vitu kama hivyo. Unatakiwa kumuomba Mungu siku zote. Katika misimu yote. Ni kwasababu anastahili. Ukiona unamtafuta mungu baada ya shida uwe na uhakika shida yako ikiisha na yeye utampotezea. Mungu yupo pale kuabudiwa kuombwa kutukuzwa kupendwa kuheshimiwa kunyenyekewa na zaid sana kutiiwa. Anastahili yote kwasababu kila unachokiona mbele ya macho yako ni muujiza so imekuwaje hata hatujui ila tunafahamu jambo moja tu. Yupo mzee wa siku ambae upendo utukufu nguvu na ukuu unayeye milele hata milele. Miaka ni yake na enzi. Amekaa pasipoweza kukaribiwa juu ya Makerubi. Sifa na utukufu ni wake milele.
Mungu sio mwepesi wa hasira ni mwingi wa huruma zaburi 145:8 kumbuka Wana wa Israel walipo kuwa kule utumwani babeli
yeremia 29:14 .
Nanyi mtaniita, mtakwenda na kuniomba, nami nitawasikiliza.
 
Shalom!
Sio ushauri ila ni mtazamo wako upo chini(poor thinking 🤔).watu wanaongelea IMAN wewe upo in a physical 🌎 world touch. Hujui mambo .tafuta ukweli pengine utarudi hapa kudai ufundishwe namna yakujitoa ulipo.
Ukweli ni upi?

Real problems require real solutions, you can't fix real problems with imaginary solution

Maombi hayajawahi kutatua tatizo labda unipe mfano.
 
Hutakiwi kumuomba Mungu ukiwa na shida changamoto na vitu kama hivyo. Unatakiwa kumuomba Mungu siku zote. Katika misimu yote. Ni kwasababu anastahili. Ukiona unamtafuta mungu baada ya shida uwe na uhakika shida yako ikiisha na yeye utampotezea. Mungu yupo pale kuabudiwa kuombwa kutukuzwa kupendwa kuheshimiwa kunyenyekewa na zaid sana kutiiwa. Anastahili yote kwasababu kila unachokiona mbele ya macho yako ni muujiza so imekuwaje hata hatujui ila tunafahamu jambo moja tu. Yupo mzee wa siku ambae upendo utukufu nguvu na ukuu unayeye milele hata milele. Miaka ni yake na enzi. Amekaa pasipoweza kukaribiwa juu ya Makerubi. Sifa na utukufu ni wake milele.
Amina 🙏
 
Hivi mnajuwa kwamba hiyo saa kumi na moja alfajiri,sehemu nyingine duniani ni saa sita tena mchana nk...sasa inamaana Mungu anachaguwa muda wa kujibu maombi wakati Mungu halali wala hasinzii. Muda wowote Mungu husikia maombi maana siyo kiziwi.
 
Bwana wetu Yesu anasema yeye ndiye mzabibu wa kweli na baba yake ndiye mkulima na sisi ni matawi pasipo yeye sisi hatuwezi kufanya neno lolote.

Yohana 15
Kwako wewe Kama ambaye unakutana changamoto za kiuchumi na magonjwa nk anza sasa kumtafuta Bwana Yesu katika mida hii ya kuanzia mida hii saa 10 mpaka 11 asubuhi nusu saa inatosha kufanya maombi fanya maombi yako nashukuru Mungu kwa ajili ya matendo makuu aliyokufanyia siku hiyo na siku iliyopita muombe Bwana Yesu mahitaji unayotaka akutendee kama unabiashara andika mahitaji uyaombee ili Yesu akutendee tembea na amri ya upendo utabarikiwa sana katika kuombea wengine

Wagalatia 5:14. Maana torati yote imetimilika katika neno moja, nalo ni hili, Umpende jirani yako kama nafsi yako.
.
Ombea neema kwa ajili ardhi unayoishi malengo na mipango yako yote ipate kibali
Ombea ndugu na marafiki
Ombea watu wote wanaoenda kutafuta riziki zao siku hiyo
Ombea amani na utulivu wa nchi
Ombea yatima na wajane
Ombea walemavu na wasiojiweza
Ombea wagonjwa waliolazwa
Ombea viongozi wako

Haya ni maombi ambayo utajibiwa haraka sana unavyokuwa unatembea na amri hii ya upendo kwa kuombea na kujali wengine unakuwa Kuna siri ambazo Mungu atakupa ili uweze kujua njia rahisi za kutatua kila tatizo unalokutana nalo mbele yako Siri zote katika kila jambo unalofanya ukitaka kuboresha kazi yako au biashara yako mtafute Mungu yeye atakupa hizo Siri usisome kitabu cha Siri za mafanikio Siri zote anazo Mungu

Danieli 2:22
yeye hufunua mambo ya fumbo na ya siri; huyajua yaliyo gizani, na nuru hukaa kwake.

kutembea na amri hii ya upendo unakuwa unarudisha upatanisho na Mungu wako tangu pale ulipoumbwa ulishakuwa umebarikiwa

Yeremia 1:5
Kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua, na kabla hujatoka tumboni, nalikutakasa; nimekuweka kuwa nabii wa mataifa.

Ila kwa sababu Kuna Kipindi ulikuwa mbali na Mungu yule shetani akaweza kuyafunga malango yako kila mtu anapokuja duniani anakuwa tayari anakuja kukamilisha zile baraka tangu kuzaliwa kwake hakuna binadamu anayekuja kutafuta mafanikio sisi tumeletwa ili kukamilisha lile kusudi kiurahisi sana

Waefeso 1:3
Atukuzwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, aliyetubariki kwa baraka zote za rohoni, katika ulimwengu wa roho, ndani yake Kristo;

Wakati utaanza kufanya maombi yako asubuhi hakikisha unasoma pia neno biblia kila siku tembea na maandiko yatakayokupa ushindi kila nyakati unazopitia soma neno kama dozi asubuhi,mchana na usiku kulishika soma biblia kama unajiandaa kufanya mtihani ndipo code za matatizo yako zinakavyofunguka kiurahisi sana

Yoshua 1:8
Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako, bali yatafakari maneno yake mchana na usiku, upate kuangalia kutenda sawasawa na maneno yote yaliyoandikwa humo; maana ndipo utakapoifanikisha njia yako, kisha ndipo utakapositawi sana.

Mfano Kama Kuna jambo umepambana kwa muda mrefu sana bila mafanikio soma kutoka katika kitabu cha 1 wafalme 18:30-42 code hii utaifungua hapa kwa kusoma andiko hili na kulishika neno tu

Mungu alivyomaliza ukame uliodumu kwa kipindi kirefu katika nchi
Amen Mtumishi wa Mungu, Asante Sana
 
Back
Top Bottom