Anza utaratibu wa kufanya maombi asubuhi alfajiri utajibiwa haraka sana

Human crafted stories. Mungu halali na hasinzii.
 
Amina
 
Msidanganyane

Real problems require real solutions
Shalom!
Sio ushauri ila ni mtazamo wako upo chini(poor thinking πŸ€”).watu wanaongelea IMAN wewe upo in a physical 🌎 world touch. Hujui mambo .tafuta ukweli pengine utarudi hapa kudai ufundishwe namna yakujitoa ulipo.
 
M
Mungu sio mwepesi wa hasira ni mwingi wa huruma zaburi 145:8 kumbuka Wana wa Israel walipo kuwa kule utumwani babeli
yeremia 29:14 .
Nanyi mtaniita, mtakwenda na kuniomba, nami nitawasikiliza.
 
Shalom!
Sio ushauri ila ni mtazamo wako upo chini(poor thinking πŸ€”).watu wanaongelea IMAN wewe upo in a physical 🌎 world touch. Hujui mambo .tafuta ukweli pengine utarudi hapa kudai ufundishwe namna yakujitoa ulipo.
Ukweli ni upi?

Real problems require real solutions, you can't fix real problems with imaginary solution

Maombi hayajawahi kutatua tatizo labda unipe mfano.
 
Amina πŸ™
 
Hivi mnajuwa kwamba hiyo saa kumi na moja alfajiri,sehemu nyingine duniani ni saa sita tena mchana nk...sasa inamaana Mungu anachaguwa muda wa kujibu maombi wakati Mungu halali wala hasinzii. Muda wowote Mungu husikia maombi maana siyo kiziwi.
 
Amen Mtumishi wa Mungu, Asante Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…