Anzisha kiwanda cha magodoro

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,013
Reaction score
1,183
Habari Tanzania !

Napenda kutoa wazo la uanzishwaji wa kiwanda kidogo cha utengenezaji magodoro rahisi na rafiki. Bidhaa ya godoro itakuwa ni nafuu kwa mteja au wateja utakao walenga.

Haya magoforo yanadumu muda mrefu sana, rafiki kwa mazingira na gharama za uzalishaji ni ndogo.

Mahitaji;

a) Makoa

b) Steel-wire

c) Kamba ya katani

d) Pamba isiyo na mbegu/ Iliyochambuliwa au Sufi

e) Kitambaa cha pamba rangi yoyote

f) Wire wa kopa

g) Uzi wa pamba/ Uzi

h) Sindano ya mkono

Karibu.

 
Yan ww huna tofaut na yule mlangira alisema ukiwa na vyerehan 2 n viwonder [emoji849][emoji849]
 


Hivi wewe una umri gni?
 
Unaturudisha nyuma mkuu!, saiv 2020 kweli godoro la pamba!
May be kwa vyuma kukaza, ila juzi nilitembelea bariadi jamaa wanatengeza kwa kitumia maranda ya mbao, lakini bado niliwaonea huruma watumiaji najua ni vyuma kukaza tu
 
Mkuu ungeweka na kavideo vifaa umetuelekeza jinsi ya kutumia atujaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…