Anzisha kiwanda cha magodoro

Anzisha kiwanda cha magodoro

Unaturudisha nyuma mkuu!, saiv 2020 kweli godoro la pamba!
May be kwa vyuma kukaza, ila juzi nilitembelea bariadi jamaa wanatengeza kwa kitumia maranda ya mbao, lakini bado niliwaonea huruma watumiaji najua ni vyuma kukaza tu
Wanajitafutia TB hao na magonjwa mengine ya mapafu
 
Unaturudisha nyuma mkuu!, saiv 2020 kweli godoro la pamba!
May be kwa vyuma kukaza, ila juzi nilitembelea bariadi jamaa wanatengeza kwa kitumia maranda ya mbao, lakini bado niliwaonea huruma watumiaji najua ni vyuma kukaza tu
Wewe ndio upo outdated brother. Usijiweke much know for nothing. Hayo magodoro mnayoyalia ya spring unajua version zake na materials yaliyotumika kutengeneza?

Ingia katika search engine yoyote ufanye utafiti wako utakuja na jibu kaka yangu.

Karibu.
 
Tumeyalalia sana haya miaka ya 197na kenda leo wanayaponda ilihali wateja wake nina uhakika bado wapo.
Uzuri hiyo godoro ni advance technology tofauti na magodoro ya pamba za mbegu unashona foronya kisha unapakia pamba mwisho unakamilisha godoro.
 
Mkuu ungeweka na kavideo vifaa umetuelekeza jinsi ya kutumia atujaelewa
Watu nimewawekea materials yanayotumika kutengeneza godoro ila hawataki kuwa wadadisi wanaweka ujuaji usio maana.

Hizo godoro ni version za spring mattress sasa unajiuliza hata kugugo watu hawataki.

Nitaweka soon video.
 
Habari Tanzania !

Napenda kutoa wazo la uanzishwaji wa kiwanda kidogo cha utengenezaji magodoro rahisi na rafiki. Bidhaa ya godoro itakuwa ni nafuu kwa mteja au wateja utakao walenga.

Haya magoforo yanadumu muda mrefu sana, rafiki kwa mazingira na gharama za uzalishaji ni ndogo.

Mahitaji;

a) Makoa

b) Steel-wire

c) Kamba ya katani

d) Pamba isiyo na mbegu/ Iliyochambuliwa au Sufi

e) Kitambaa cha pamba rangi yoyote

f) Wire wa kopa

g) Uzi wa pamba/ Uzi

h) Sindano ya mkono

Karibu.
Mkuu tupe darasa ndio ujasiliamali wenyewe huo, hivyo ni vifaa sasa lete jinsi ambavyo utafanikisha kumalizia hilo godoro. kama unaweza tengeneza Video mkuu atasaidia wengi.
 
Mkuu tupe darasa ndio ujasiliamali wenyewe huo, hivyo ni vifaa sasa lete jinsi ambavyo utafanikisha kumalizia hilo godoro. kama unaweza tengeneza Video mkuu atasaidia wengi.
Boss nimejaribu kuweka video imegoma.
 
Kwa hiyo ukishakamilisha hivyo vitu unaviloweka kwenye pipa kwa wiki moja kisha linatokea godoro.
Haahaa acha kujitoa ufahamu.

1. Baada ya kuwa na hayo mahitaji, kinachofuata ni uunganishaji au uundaji wa godoro. Utaamua saizi ya godoro ulitakalo.

2. Baada ya hapo. Utashepu godoro lako kwa kutumia makoa kwa kuunda fremu ya mfanano mawili au matatu au manne itategemeana unataka inchi ngapi?.

3. Utachukua wire wa kopa utaukata na kuushepu mfano wa zigizaga kwa saizi moja kwendana na futi size ya godoro utakalo. Utakata vipande vidogo vidogo 24 (Urefu 6 * Upana 4).

4. Unaichuwa steel-wire unaikata kwa mfanano ule ule wa inchi ya godoro.

5. Unachukua pamba yako safi tayari sasa kwa kutengeneza godoro.

6. Hatua hii ndio uundaji sasa wa godoro unapoanzia baada ya kuandaa kila kitu.

a) Unachukua vipande vya wire ya kopa unaviunganisha kwa kamba ya katani kuelekea urefu na upana wa godoro lako mfano 5*6 au 6*6.

b) Baada ya hapo. Unatandaza makoa yako ambayo uliyoyatengeneza kwa shepu ya fremu za godoro kwa kuunganisha huku yakipandiana kwa wire ya kopa aidha fremu 2 au 3 au 4.

c) Unaunganisha sasa na zigizaga ya wire wa kopa ulizoziunganisha awali. Unaweka steel-wire kwenye nafasi pembezoni mwa kila shimo la zigzaga. Baada ya hapo unaanza kufix au kuchomeka pamba yako sasa kwa ustadi mkuu.

Nitamalizia.
 
Back
Top Bottom