Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,414
- 2,181
- Thread starter
- #21
Ndugu nishakutumia kwenye e-mail na katika pm.Karibu tenaOk soon unaona pesa inaingia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu nishakutumia kwenye e-mail na katika pm.Karibu tenaOk soon unaona pesa inaingia
Na Mungu aibariki kazi ya mikono yako
Nakushkru sana nimeipataNdugu nishakutumia kwenye e-mail na katika pm.Karibu tena
Sawa ndugu, basi naomba ulete mrejesho hapa.Nakushkru sana nimeipata
Kitabu ni kizuri nimekipenda sasa naanza kufanyia kazi kwa vitendo yale yaliyomo humo. Changamoto ninayoiona ni namna ya kupata materials zake. Leo nimezunguka mjin kwetu Nimepata baadhi vingine nimekosa kwenye maduka ya vifaa vya maabara . Naomba msaada wa kuvipata.Sawa ndugu, basi naomba ulete mrejesho hapa.
wasiliana na huku kaka: 0754-621 354 , anauza na atakuelekeza vipimo.Yupo k/koo mtaa wa Omari londo(somali kipand).Kitabu ni kizuri nimekipenda sasa naanza kufanyia kazi kwa vitendo yale yaliyomo humo. Changamoto ninayoiona ni namna ya kupata materials zake. Leo nimezunguka mjin kwetu Nimepata baadhi vingine nimekosa kwenye maduka ya vifaa vya maabara . Naomba msaada wa kuvipata.