Aogeshwa maji taka siku yake ya kuzaliwa πŸ’©πŸ’©

Upumbavu huu ulianzia Dar... Yani wanaume walikaa kabisa na kubuni ujingaa

hahahahahah unatuonea wadaresalamu mkuu, huu ujinga ulianzia mkoaniiiiii, sisi tume-adopt tuu kutoka kwao.
 
RC pendwa

Ova
hahahaha kumbe hadi naye kakubali raia wammwagie mimaji, ndomana hii tabia haiishi inazidi kukua, sasa kama kiongozi anachochea hii ishu raia tufanyaje.
 
Walikuwa wanajuaje ni birthday yako? au pale shule kila mtu ameandika tarehe yake ya kuzaliwa?
 
Walikuwa wanajuaje ni birthday yako? au pale shule kila mtu ameandika tarehe yake ya kuzaliwa?
kwenye kupiga stori unashitukia ushasema nilizaliwa April 3 basi wavimba macho wanaikariri huku wanakuvutia pumzi,halafu hawawezi kusahau we utashituka umevutwa na kupigwa maji machafu na vitasa juu.
Live long my Kisimiri.
 
hahaha..... wavimba macho aka wadananja.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…