Aomba radhi Wananchi baada ya Mateka kukutwa wameuawa!

Aomba radhi Wananchi baada ya Mateka kukutwa wameuawa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Waziri mkuu wa Taifa Teule Israel ameomba radhi baada ya Mateka 6 kukutwa wamekufa

Source: BBC

Mlale Unono 🐼
 

Hamas hints six slain hostages extracted by IDF were murdered because troops were near​


Spokesman for terror group’s military wing says special instructions were given to guards following successful rescue of four other hostages in June; blames Israel for their deaths​

 
Kwenye page yake Instagram mbona ameelezea vizuri tu kwamba ataendeleza pressure ya kijeshi dhidi ya magaidi mpaka ahakikishe mateka wote wanakombolewa
 
Waziri mkuu wa Taifa Teule Israel ameomba radhi baada ya Mateka 6 kukutwa wamekufa

Source: BBC

Mlale Unono 🐼
Huyo ni fala tu kama waisrael wote ni mafala tu. Vita anafanya akidhani silaha za US ndio zitampa ushindi, kabakia kufanya genocide Mimi na uhakika huyu atakufa kifo kibaya sana nyie tulieni mtaona.

Pili nikiwambia huyu falla na kusudia kweli, kama anapigana vita kwa ajili ya kudai Israel lazima ipigane vita na madui, yuko wapi mwanae? Waisrael wanakufa mwanaye ana kula bata 😄
 
Back
Top Bottom