King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Kuna kesi ngumu kidogo hapa.
Jamaa yangu amekaa na Mke wake kwenye ndoa miaka 9 sasa. Kumbe Mke alikuwa anatafuta kazi sasa amepata.
Baada ya kumletea mume majibu amemnyima ruhusa kuajiriwa.
Mke anataka kazi, Mume hataki. Sasa Mke anataka talaka ili akafanye kazi. Je! Ampe?
Nilichomaanisha kukubaliana kumtimizia mke wake kile ambacho mwanamke anaweza kukifanya akiwa na ajira yake.Mtaniii!!
Kukubaliana nini? Mke apewe talaka, kuna maisha nje ya ndoa.
Uhuru wa kiuchumi ni muhimu kuliko ndoa.
Au wee unasemajee? 😂😂😂😂😂
Mmmmmh lina ukweli wowote hapa?Mtaniii!!
Kukubaliana nini? Mke apewe talaka, kuna maisha nje ya ndoa.
Uhuru wa kiuchumi ni muhimu kuliko ndoa.
Au wee unasemajee? 😂😂😂😂😂
Mtaniii mie sipendi kuachana zaidi ya neno lenyewe. Ila inapobidi hakuna namnaa.Nilichomaanisha kukubaliana kumtimizia mke wake kile ambacho mwanamke anaweza kukifanya akiwa na ajira yake.
Hahahaaa. Ni kweli uhuru wa kiuchumi ni muhimu Mtani japo mwenzio kuachana huwa sikubariki sijui ndo uzee. 🤪
Yaani napenda watu waachane ikiwa hamna suluhisho lingine. 😅
Ukweli ndo huoMmmmmh lina ukweli wowote hapa?
Hapo waachane ili mwanamke apate muda wa kufanya kazi free au aondokane na mateso? Watoto vipiItakuwa alikuwa anateswa sana....
Kupata kazi kwa mke mna watoto wawili ni baraka, hata mume atapata muda wa kuchepuka.....
Shakuwa tena KATAA NDOAMke apewe talaka, akafanye kazi ya ajira yake.
Kwani ndoa ni kitu gani bwana, aaah wee. Lol
HapanaaaUme
Shakuwa tena KATAA NDOA
Kwangu binafsi siwezi muacha mke wangu akafanye kazi unless nimemfungulia biashara mwenyewe ambayo ninauwezo wa kuifunga nikishaona kuna uwalakini ila kumuacha akaajirowe HAPANA.Nikiwa kama mume mwenye uwezo wa kumhudumia mke wangu kwa kadri ya kipato kwangu itakuwa ngumu kukubali mke wangu akafanye kazi........lakini pia siwezi kumshikilia mateka mtoto wa watu ambaye wazazi au walezi wamemsomesha kwa gharama kubwa.......nitampa taraka yake ili akawe huru kufanya kazi zake!!!!
Binafsi siwezi kubali akaajiriwe hata siku moja maana atabadilisha kila mtazamo chanya kuwa hasi......hapo alitakiwa kumfungulia biashara ambayo itamfanya awe busy kutafuta pesa tu na sio kumfanya mama wa nyumbaniHapanaaa
Nitaweza kubadilisha vipi?Heading ingesomeka: "Aomba talaka baada ya kukatazwa kufanya kazi"
Family friend wangu tayari ana kazi ambayo mimi ndio nimemuweka hapo, akiketa ABCD naipiga chini hiyo kazi, nashukuru Mungu anafanya kazi yangu mwenyew kwa kivuli cha jina lake.Ndo upate somo hapo kabla hujamuoa huyo family friend wako.
Halina ubishani
Mpaka moderator. Maana hiyo iliyopo ina sound like alivyopata tu kazi akaomba talaka.Nitaweza kubadilisha vipi?
Hivi ile Toyota vip inunue faster shem apunguzie munkari wakutaka talaka 😅Kuna kesi ngumu kidogo hapa.
Jamaa yangu amekaa na Mke wake kwenye ndoa miaka 9 sasa. Kumbe Mke alikuwa anatafuta kazi sasa amepata.
Baada ya kumletea mume majibu amemnyima ruhusa kuajiriwa.
Mke anataka kazi, Mume hataki. Sasa Mke anataka talaka ili akafanye kazi. Je! Ampe?