Habari ndugu msomaji: kwa upande wangu mimi ni buheri wa afya: leo nakutonya kidogo 😜kwambaliii,😂inanihusu mie mwenyewe! Wataka kujua🤩nk'onk'o!! Samahani ni ni kikohozi tu kilinibana ! Ok back to the point" namaanisha nimerudi tuzungumzie mambo lenyewe' nikiwa Darasa la tano miaka ile niliwaza moyoni na kuzingatia kwamba natakiwa kuwa dakitari wa magojwa ya binadamu,😂😐we!
Asikuambie mtu mimi nilizaliwa kwenye familia duni sana tena sana zaidi ya sana, kukosa ada ya shule au chakula au uniform ni Pai mean contant na maanisha given yaan ni jambo la kawaida sana, Nilicho bakiwa nacho ni wangu wema sana tena sana Mungu aendelee kunitunzia wazazi wangu nawapenda sana.
Nakumbuka kwenye ile sekondari niliyokuwa nasoma, siku ya jumatano kila wiki iliteuliwa ya kubeba mawe kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madara, achana na shule ya msingi ambayo tulisomea chini ya muembe, na mvua ikinyesha tunawekwa madarasa matatu ndani ya chumba kimoja
Naam😐 sasa unaweza elewa nimetokea mazingira ya namna gani!! Je na ndoto yangu ya udakitari vipi 😂😜mmmhh nacheka ila 🙏tafadhali usinicheke😎
Sekondari nilijaribu kuwashirikisha marafiki zangu kidogo, hata baadhi ya waalimu kuhusu ndoto yangu, mmmh si unajua " la moyoni hupozwa na ulimi"
Kwa mazingira yote kweli kwa hali ya nje nilikua kituko kwa kauli zangu kwasababu shule yenyewe kwa nje ilisadifu, waalimu wachache, muda mwingi kazi za mkono, kurudisha ada ndiyo usiseme kabisa, shule nayo haina historia ya kufaulisha, dah!!
Lakini juhudi za utafutaji wangu binafsi ukijumlisha na ule wa wazazi pamoja na imani niliyokua nayo kwa Mungu,🎼🎤Amini usiamini sasa hivi nipo mimi ni dakitari na ninaifurahia kazi yangu,😍 " je wewe waona nini nafsini mwako?
Ukiona jema, mazingira yasikutishe , pambana. Ukiona baya badilika na kuwaza mema , utende mazuri, mazingira yasikutishe.

Upvote
0