Apart from Umakamu mwenyekiti wa chadema,Lisu anafanya shughuli gani nyingine ya kumingizia kipato?

Wakuu,hivi lisu anafanya shughuli gani nyingine ya kumuingizia kipato?
Unajua tatizo lenu Chawa wa Mbowe Mkimsikia Mtu mtandaoni mnahisi Mnamjua kuliko mwenyewe..
Lisuu ni mwanasheria/Wakili , Mbunge mstaafu na Anabiashara zake kibao..

Acha Uchawa usio na faida falaa wewe
Screenshot_20241225_165601_Chrome.jpg
 
Unajua tatizo lenu Chawa wa Mbowe Mkimsikia Mtu mtandaoni mnahisi Mnamjua kuliko mwenyewe..
Lisuu ni mwanasheria/Wakili , Mbunge mstaafu na Anabiashara zake kibao..

Acha Uchawa usio na faida falaa wewe
View attachment 3184806
Chawa wa lissu unamjibu chawa wa mbowe kwa hasira.kwani huwezi kumjibu kistarabu.
 
Huyo alishasema kuwa ni consultant na analipwa vizuri tu

Kwa Elimu yake na experience na exposure huyo hatafuti tena Ajira Ila Ajira inamtafuta yeye
Wewe Mbaya kweli? Unapamba visivyopambika? Kama ana hayo yote kwanini analialia kuchangiwa hela ya kununua gari la kutembelea? Ushawahi kusikia Mbowe analialia Hana hela?
 
Alishwai kuja kukulilia, una clip au post yoyote akilialia kuchangiwa?
 
Back
Top Bottom