Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Kwenye maisha moja ya Somo nililojifunza usitumie nguvu kubwa sana kumsaidia mtu, msaidie mtu kiasi alafu endelea na maisha yako
Kwanin nasema hivyo mfano Kuna mtu na kaka yake tulimsaidia alikua na shida kinoma kwao akawa anakuja kwetu akawa anaishi kama mwanafamilia tulihakikisha hatumtengi, amekuja kuwa tajiri ana miliki makampuni huwezi amini yule mtu Hana msaada wowote hatumlazimishi atoe mshaada ila inakera
Mfano South Africa nchi nyingi zilijinyima Tanzania ikiwepo kuwapigania itoke kwenye apartheid, wakafanikiwa Leo hii south Africa wanawafanyia fujo waafrika wenzao kwamba wanawachukulia kazi
Swali la kujiuliza south Africa ni nchi ambayo inasheria inaruhusuje kikundi cha wahuni waende kufanyia waamiaji haramu je jeshi la uhamiaji Wana kazi gani
Muda mwingine naamin ni Bora apartheid ingeendelea south Africa sababu south Africa ya Leo ni mbaya kuliko hata kipindi Cha apartheid yaan wameshindwa kujiongoza
Suluhuhisho wapate rais mzungu wote hao wakina Malema, ANC hakuna anaweza kuitoa nchi pale ilipo ni aibu kubwa sana