NakaziaKwanini usitaje bei, sifa ya hizo ‘apatimenti’, pamoja na mawasiliano yako. Au mpaka uulizwe ulizwe.?
Mimi sio mnunuaji lakini
Sina hata hela ya soap soap ndio maana nauzaAisee
Wapangaji wamezitimba hizo apatimenti mpaka zimechoka haswa.....
Piga rangi na sopusopu ndio uje mjini.....
sebule yenye open kitchen, Master bedroom, zipo unit tano kwa pamoja, wapangaji wapo zote tano, nauza 30 million
Sa mkuu hapo si unakula kodi kwanini unauza, pole.Sina hata hela ya soap soap ndio maana nauza